Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Yule anaethubutu kusema Lowassa ni Fisadi Mpaka leo hii akapimwe akili.
Nchi hii ina Mihimili mitatu.
Raisi
Bunge
Mahakama.
Eti Pamoja na Tumbua tumbua ya Majipu na Chunusi zake bado tu Lowassa hajatumbuliwa.
Bado unasema tu Lowassa ni Fisadi?
Angekuwa CCM tungesema serikali inamlinda kwa kuwa serikali ya CCM ni serikali ya kulindana.
Lakini Pamoja na kuhama kwenda Upinzani lkn bado hajatumbuliwa tu bado? Bado unaamini Lowassa ni Fisadi?
Pamoja na Utumbuaji wa Majipu huu unaozingatia Sifa, Kick, KujikombaKomba, mihemko.
Hebu niambie ni nani ambae hapendi sifa za Kumtumbua Lowassa? Kama Fisadi Papa?
Hata JMP mwenyewe anapenda sana angeweza kupata nafasi ya kumtumbua Lowassa kama Fisadi. Lakini Utamtumbuaje mtu ambae hana Jipu?
JMP alitangaza Mahakama ya Mafisadi, Kwa jinsi Lowassa alivyokua anahubiriwa kuwa ni Fisadi nilijua Lowassa angefanya uzinduzi wa Mahakama ya Mafisadi na Kuweka historia kuwa Mtu wa Kwanza kuhukumiwa kwenye Mahakama ya Mafisadi ni E. N. Lowassa.
Bila shaka hata Magufuli anapenda sana kupata sifa ya kumtumbua mtu mkubwa.
Pamoja na JMK kutamka hadharani kuwa, washughulikiwe wale wote waliokihujumu chama. Mi nadhani kila alie madarakani sasa hivi Anatamani kushughulikia wale waliokihujumu chama na Mmoja wapo ni LOWASSA ili apate sifa na Kick.
ila swali langu ni kwamba, Utamtumbuaje mtu ambae hana jipu?
Ndo maana Nikasema kwamba ANAEAMINI MPKA LEO HII KUWA LOWASSA NI JIPU AU NI FISADI AKAPIMWE AKILI.
Bila shaka kama sio tu uwezo wa kufikiria ni Mdogo sana, Basi ni Zero kabisa.
Kusoma hujui, Hata picha huoni?