Yule anayethubutu kusema Lowassa Fisadi

Yule anayethubutu kusema Lowassa Fisadi

Si hilo tu mwakyembe alitumia njia zote kuaminisha umma wa watz kuwa Edo ndio fisadi kuliko wote achaguliwe jpm ili amchukuliehatua haraka lkn kumbe JK yuko hatarini kila uchao
 
Uwadilifu upi unaosemea? Hivi barabara zs big g nizanani? Nyumba za Serekali? Kufanya maigizo je?
Yalinganishe hayo na hasara zilizopatikana baada ya nchi kuingia gizani mwaka 2008. Yalinganishe hayo na hujuma ambazo mzee wa monduli amekuwa akizifanya katika kipindi cha miaka mingi ya uongozi wa JK. Yalinganishe hayo na uwezo wa uongozi alionao Magufuli, jeuri ya kuwaambia watu wasiende nje ya nchi bila ya sababu za msingi. Kama Magufuli angekuwa sio muadilifu angepata wapi jeuri ya kusema hakuna mtu kwenda nje bila ya ruhusa yangu?. Mzee wa monduli angeweza vipi kuwaambia waliomchangia wasiende nje ya nchi wakati biashara zao zipo huko?. Jipangeni, hizi siasa mnazozifanya humu kwenye mitandao zitawapa umaarufu mijini tu, badilikeni.
 
Si hilo tu mwakyembe alitumia njia zote kuaminisha umma wa watz kuwa Edo ndio fisadi kuliko wote achaguliwe jpm ili amchukuliehatua haraka lkn kumbe JK yuko hatarini kila uchao
Umenena kiongozi
 
Kama hayo yote alikua nayo kwanini vasco dagama alimteuwa kua pm
 
Alapata kura ngapi mkachakachua hata nyie mnajua na ulimwengu pia
Walikuwapo humu zaidi yako
Leo wametulia
Lowassa ni kitu kisicho wezekana tena kusafishika
Mnapoteza muda

Toa Jibu
Kwanini Hasafishiki!?
Ona na huyu anasemaje j
482b272e962420991aafe5913241d875.jpg
 
  • Thanks
Reactions: nao
A
Walikuwapo humu zaidi yako
Leo wametulia
Lowassa ni kitu kisicho wezekana tena kusafishika
Mnapoteza muda

Toa Jibu
Kwanini Hasafishiki!?
Ona na huyu anasemaje j
482b272e962420991aafe5913241d875.jpg
s

ANGEKUA MCHAFU ASINGEPATA ZILE MILLIONI 10 NA USHEE
 
Kama hayo yote alikua nayo kwanini vasco dagama alimteuwa kua pm
Lowassa alikuwa campaign manager wa JK, ukumbuke kuwa hawa ni watu ambao hawakukutana barabarani. Sio ajabu JK alivumilia mengi wakati wa miaka yake kumi, haswa kipindi kile baada ya Lowassa kujiuzulu. Hata mimi na wewe tunaweza kujikuta kwenye position ya JK maishani mwetu. Busara ndipo zinapohitajika, ukomavu wa akili ndipo unapohitajika.
Yesu alisema ufalme wangu sio wa dunia hii, maana yake ni kwamba yale ya dunia ingawa yanapita na yanadumu kwa muda mfupi, bado yanaweza kutufanya tukapoteza utu na kila chembe ya wema ndani yetu.
 
Sasa huo ndio uchakubanga kabisa maana bosy wake ndio wakuwajibishwa sasa
 
Tundu Lissu alisemaje

"Anae Muunga Mkono Lowassa Akapimwe Akili"

Si hilo tu mwakyembe alitumia njia zote kuaminisha umma wa watz kuwa Edo ndio fisadi kuliko wote achaguliwe jpm ili amchukuliehatua haraka lkn kumbe JK yuko hatarini kila uchao
 
Sasa huo ndio uchakubanga kabisa maana bosy wake ndio wakuwajibishwa sasa
Wakuwajibishwa ni yeye kwani bosi wake hakuhusika moja kwa moja na richmond. Aliyeundiwa tume ni yeye EL na sio JK, yeye aliikingia kifua richmond kuanzia mwanzo mpaka mwisho, halafu jamii inadanganywa kwamba yeye alijiuzulu kwa sababu ya kubebeshwa mzigo wa dhambi za wengine, alijiuzulu kwa sababu ya mzigo wa dhambi zake yeye kama waziri mkuu. Ndio maana nakwambia tuongee mambo ya leo hii, hayo ya Lowassa yametokea mwaka 2008, mtoto aliyezaliwa mwaka huo, mwaka huu anafikisha miaka nane, yupo darasa la pili.
 
Miaka yote mlisubiri nini msimpeleke Mahakamani? Mahakama ya mafisadi ipo wapi tuone kama ataenda Freeman Mbowe amewatajia mafisadi papa 3 juzi ndio kwanza wanapishana magogoni kama bata na maji
 
Back
Top Bottom