Yule anayethubutu kusema Lowassa Fisadi

Yule anayethubutu kusema Lowassa Fisadi

Wale ambao siyo wana CCM na waliokuwa misled na wana CCM hao hao waliligundua hilo na kusema;

lol....! kumbe tuliingizwa mkenge kwa fitina za kisiasa za wana CCM wenyewe kumbe ukweli wa mambo ni kinyume chake!!??

Na ndiyo maana leo wako pamoja na yeye kasemehe na maisha yanaendelea!!

How come tena wana CCM nyie mliokuwa mnaamini kuwa huyu jamaa "alipatwa na ajali ya kisiasa tu", leo mmeshupaza shingo zenu mki - shout kuwa huyu jamaa ni fisadi papa to the extent kwamba anaundiwa na mahakama yake kabisa and yet mtu huyu yuko mitaani tu anadunda tena akiwa ameshajitoa katika wigo wa kulindana miongoni mwao!!??

Mpaka hapo unaweza kuona kuwa sijaikwepa hoja yako, nimeijibu na nimerudia tena kuijibu hapa na ndiyo maana narudia kukuambia hujui kuwa kwa mujibu wa sheria za Tanzania ni makosa mtu kuhonga pesa watu au mtu flani kwa kusudi la kupata nafuu ya ulinzi flani?

Si ndiyo maana yako ya "aliwapa pesa ndefu" (ukimaanisha hongo au rushwa na nadhani ukimaanisha kule alikohamia sasa i.e CHADEMA), au
siyo mkuu?

Ndiyo tunasema, let him be the first to be taken to that special court on graft and corruption jumlisha na hawa waliopewa "hela ndefu" kama washtakiwa wenzake na mashahidi vilevile!!

I hope you ha've gotten the point now!
Mwanasiasa anapoongea ipime kauli yake kwa undani la sivyo utadanganyika. Nimekwambia kuwa Lowassa alikuwa ni meneja wa kampeni wa Kikwete. Yale maneno "ajali ya kisiasa" yalikuwa ni maalum katika kumliwaza Lowassa ambaye alikuwa anapita katika kipindi kigumu kisaikolojia baada ya kulazimika kujiuzulu uwaziri mkuu. Kumbuka kuwa ni katika kipindi hicho ndipo Lowassa alisemwa kuwa alikuwa anakunywa sana whisky ili kujiliwaza. Ndugu yangu kauli ile ya KIkwete akiongea na wazee wa Dar ilikuwa na lengo la kisiasa zaidi, na ilisemwa kwa nia ya Kikwete kutaka kujisafisha machoni pa Lowassa na marafiki zake. Suala la nani atapelekwa kwenye mahakama ya mafisadi, na lini, hilo liko chini ya mamlaka ya taasisi zinazohusika.
Hapa hatukuhumu, tunaongea mambo mbalimbali kwa kujenga hoja. Lowassa ni waziri mkuu mstaafu, Kikwete ni rais mstaafu, mimi na wewe tukiwa kama watanzania wa kawaida, kwanini tusitafute mada nyingine ya kuongea. Punguza kiburi, punguza jazba wakati unaongea na watu kupitia jamii forum. Humu kuna watu wa aina tofauti wenye elimu tofauti lakini wanaunganishwa na mada zinazojadiliwa.
 
Msafi wa ccm ni yupi?
Wewe ndiyo uliyemtumia kama kigezo cha usafi kwa kusema eti amewataja mafisadi watatu. Ndio maana nikakwambia huyo anayewataja mafisadi na yeye sio msafi. Asinyooshe kidole watu wakati na yeye alishawahi kumpokea mtu aliyetuhumiwa uchafu kutokea CCM.
 
Jibu swali katiba ya Lumumba?
 
Mwanasiasa anapoongea ipime kauli yake kwa undani la sivyo utadanganyika. Nimekwambia kuwa Lowassa alikuwa ni meneja wa kampeni wa Kikwete. Yale maneno "ajali ya kisiasa" yalikuwa ni maalum katika kumliwaza Lowassa ambaye alikuwa anapita katika kipindi kigumu kisaikolojia baada ya kulazimika kujiuzulu uwaziri mkuu. Kumbuka kuwa ni katika kipindi hicho ndipo Lowassa alisemwa kuwa alikuwa anakunywa sana whisky ili kujiliwaza. Ndugu yangu kauli ile ya KIkwete akiongea na wazee wa Dar ilikuwa na lengo la kisiasa zaidi, na ilisemwa kwa nia ya Kikwete kutaka kujisafisha machoni pa Lowassa na marafiki zake. Suala la nani atapelekwa kwenye mahakama ya mafisadi, na lini, hilo liko chini ya mamlaka ya taasisi zinazohusika.
Hapa hatukuhumu, tunaongea mambo mbalimbali kwa kujenga hoja. Lowassa ni waziri mkuu mstaafu, Kikwete ni rais mstaafu, mimi na wewe tukiwa kama watanzania wa kawaida, kwanini tusitafute mada nyingine ya kuongea. Punguza kiburi, punguza jazba wakati unaongea na watu kupitia jamii forum. Humu kuna watu wa aina tofauti wenye elimu tofauti lakini wanaunganishwa na mada zinazojadiliwa.
Sina kiburi na sina jazba yoyote isipokuwa imeletwa mada na tunaijadili

Na kwa sasa na kipande hiki ni mimi na wewe, umenijibu na nikakujibu. Tatizo liko wapi hapo?

However, thank you because at last you have come to your real senses, kwamba, hao ni wanasiasa na hizo ni kauli za kisiasa tu. Na kwamba hata siku moja hakuna atakayeweza kumpeleka huyu jamaa kwenye hiyo the so called "mahakama ya mafisadi",kwa sbb aidha waende wote au tubaki kuchezeshwa muziki wa kisiasa!

Nakuunga mkono, tuachane na mjadala huu kwa sbb it leading us no where na badala yake tujadiliane mambo ya umeme maana huku kwetu Shinyanga tangu jana usiku hatunao mpaka muda huu haupo!

Hapa kazi tu bila umeme na hii ndiyo Tanzania ya Magufuli!
 
Jibu swali katiba ya Lumumba?
Mwanahabari tunapotezeana muda, haina maana tuwe tunakwenda mbele halafu tunarudia kwenye kitu ambacho tumeshakijadili tena zaidi ya saa moja iliyopita. Katiba ya CHADEMA, chama cha mzee Edwin Mtei ambacho kinaongozwa na mpwa wake anayeitwa Freeman Mbowe. Katiba ya chama ambacho walio wengi wamekubali kuburuzwa na watu wachache.
 
Ushahidi mnao na ukweli mnaujua hakuna haja ya kumsafisha hapa hatakati hata kwa jiki.
Sasa mbona mnaweweseka sana mlileta washawasha za nini kama hamuweweseki watanzania wanamjua siyo fisadi ndio maana wakampa kura zote zile
 
Sina kiburi na sina jazba yoyote isipokuwa imeletwa mada na tunaijadili

Na kwa sasa na kipande hiki ni mimi na wewe, umenijibu na nikakujibu. Tatizo liko wapi hapo?

However, thank you because at last you have come to your real senses, kwamba, hao ni wanasiasa na hizo ni kauli za kisiasa tu. Na kwamba hata siku moja hakuna atakayeweza kumpeleka huyu jamaa kwenye hiyo the so called "mahakama ya mafisadi",kwa sbb aidha waende wote au tubaki kuchezeshwa muziki wa kisiasa!

Nakuunga mkono, tuachane na mjadala huu kwa sbb it leading us no where na badala yake tujadiliane mambo ya umeme maana huku kwetu Shinyanga tangu jana usiku hatunao mpaka muda huu haupo!

Hapa kazi tu bila umeme na hii ndiyo Tanzania ya Magufuli!
Afadhali yako wewe unaelewa mambo vizuri, mwanahabari ni kero tupu, anampenda Lowassa mpaka anapoteza uwezo mdogo wa kufikiri. Issue ya umeme ni suala la muda mfupi tu. Labda kuna matengenezo katika njia kuu za umeme.
 
Mwanahabari tunapotezeana muda, haina maana tuwe tunakwenda mbele halafu tunarudia kwenye kitu ambacho tumeshakijadili tena zaidi ya saa moja iliyopita. Katiba ya CHADEMA, chama cha mzee Edwin Mtei ambacho kinaongozwa na mpwa wake anayeitwa Freeman Mbowe. Katiba ya chama ambacho walio wengi wamekubali kuburuzwa na watu wachache.
Hiyo katiba hujui hata inafananaje labda ni ile inayotengeneza hapo Lumumba nitajie kifungu chochote kinachomnyima yeye kuongoza? Wacha Mazingaombwe
 
Afadhali yako wewe unaelewa mambo vizuri, mwanahabari ni kero tupu, anampenda Lowassa mpaka anapoteza uwezo mdogo wa kufikiri. Issue ya umeme ni suala la muda mfupi tu. Labda kuna matengenezo katika njia kuu za umeme.
Mimi simpendi mtu wala sina mda wakumshabikia mtuu mimi nakipenda chama chenye msimamo namisingi ya uongozi kama Chadema kwa sisi wanahabari na viongozi tunajua chama chenyekuwatetea wanyonge na misimamo siyo ukurunzinza ns maigizo kama chama cha machafuko aka chama cha majipu
 
Hiyo katiba hujui hata inafananaje labda ni ile inayotengeneza hapo Lumumba nitajie kifungu chochote kinachomnyima yeye kuongoza? Wacha Mazingaombwe
Katiba ya chadema ilimpa Mbowe vipindi viwili vya uongozi ambavyo vilimalizika mwaka 2014, yeye mpaka leo 2016 ndio mwenyekiti!!. Hauoni kama anaelekea kule kule kwa madikteta wa Afrika wanaokaa madarakani kwa zaidi ya miaka 30. Suala sio uwepo wa vifungu vinavyomkataza kuongoza, suala ni uwezo wake katika kushawishi watu ili aendelee kuongoza. Tabia zile zile za kina Paul Kagame na Museveni, wanasiasa ambao husema kuwa watu wananipenda, kumbe hao watu ni kundi la wapambe wachache tu. Mbowe anaelekea kwenye udikteta huo huo.
 
Nipe hicho Kipengele kwenye katiba ya Chadema usilete ya Lumumba
 
Uzuri ushahidi mnao wenyewe labda Kama unajitoa akili tu.
Huyu kajifyatua tu akili ili kutupima, hivi anataka kutuambia hajui mnyika, lissu, Msigwa na lema walisema wanao ushahidi kabisa wa huyu fisadi?aende pale ufipa akawaeleze.
 
Lowasa kiboko yao akiri aliyo nayo huwezi kuilinganisha na za wapumbavu wa lumumba kila siku wanamuombea mabaya ila kwa uwezo wa mungu lowasa anang'aaaaaaaaaa
 
Huyu kajifyatua tu akili ili kutupima, hivi anataka kutuambia hajui mnyika, lissu, Msigwa na lema walisema wanao ushahidi kabisa wa huyu fisadi?aende pale ufipa akawaeleze.
Anajua Sana sema ndo kujitoa upofu ikiwa maboss zake walikuja na ushahidi kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Huyu kajifyatua tu akili ili kutupima, hivi anataka kutuambia hajui mnyika, lissu, Msigwa na lema walisema wanao ushahidi kabisa wa huyu fisadi?aende pale ufipa akawaeleze.
MLIAMINISHA WATU UJINGA KWA MASLAI YA CCM LAKINI BAADA YA UKWELI KUJULIKANA KIBAO KIMEWARUDIA
 
Back
Top Bottom