Hayo umesema wewe amewaita kwani yeye anaserekali na mbona ameondoka ccmCCM na Lowassa ni kitu kile kile, huwezi kuyazungumzia maisha ya Lowassa kisiasa bila ya kuiongelea CCM. Ikiwa wale wa serikali wanatumia waandishi wa habari na Mzee Lowassa pia hayuko nyuma kwenye tabia hiyo. Yeye kwa sasa anawaita ofisini kwake mikocheni, sio Ufipa ambako mzee huyu alipaswa kuwepo kwani ndio makao makuu ya CHADEMA. Kumbuka kuwa msanii kutoka monduli, kahamisha kabisa ofisi za chama na kuzipeleka mikocheni ili zifanane na hadhi yake.
Hivi baado mna edit tuu
Kwahiyo yale Majipu 3 Freeman aliyoyataja yanazidi kukua tu mwishowake yatakua ni Mabusha?Naona unaleta ligi lakini kumbuka mfumo wa zamani ndani ccm na serikali ulikuwa wakulindana ndio maana maovu yalikua mengi na hakuna hatua zilizo chukuliwa. Lakini upinzani kwa kujua uzaifu ndani ya chama cha ccm wa kulindana na mnajua mafisadi waliokuwa ndani ya system akiwemo lowasa still mkamchukua na kumuogesha kwa jiki, i think haikuwa sahihi
Hata kwenye maigizo kuna MatamkoNdugu kumbuka tunaposema Lowasa ni fisadi haiondoi maovu yaliyokuwa yakitendwa na walio mzunguka na taasisi za serikali, ila cha kushukuru Mungu ni kuwa sasa kidogo ndani ya chama pamoja na serikalini tumeanza kuona uwajibikaji, ili kuonyesha hilo ulisikia tangazo la PM jana kuwa endapo mawaziri wasingerudisha zile form za maadili kwa muda waliopewa wangetimuliwa kitu ambacho usingewwza kukisikia kwenye serikali zilizopita. So lowasa akiwa fisadi haimaanishi JK ni msafi.
Hivi Kuna umri wa kuwa na mali? Huoni kwamba kwa kuwa Mwalimu naye alikuwa ni Mwanadamu na mwanadamu ni kawaida kukosea basi katika hili alikosea? Leo hii bilionea Mark Zuckerberg Mwanzilishi wa Face Book ana umri wa miaka mingapi?Aliyesema CCM sio baba yake, ndio huyo huyo aliyesema kuwa Lowassa ana mali nyingi kuliko umri wake...
Hahah umenikumbusha Mkuu hivi Riz moko anaumri gani?Hivi Kuna umri wa kuwa na mali? Huoni kwamba kwa kuwa Mwalimu naye alikuwa ni Mwanadamu na mwanadamu ni kawaida kukosea basi katika hili alikosea? Leo hii bilionea Mark Zuckerberg Mwanzilishi wa Face Book ana umri wa miaka mingapi?
Ndio Maana Swahiba safari za kila leo pale Magogoni hazihishiUmewakumbusha vizuri sana.lazima magufuli amheshimu lowassa ndiye aliyesaidia kumuengua membe na kumbakisha magu.
Tatizo ni jinsi ambavyo hizo mali zinaweza kuwa zimepatikana, kupatikana kwake kama hakuna uhusiano na cheo cha mtu basi sio dhambi mtu kuwa tajiri. Tatizo ni pale mali za mtu zinapokuwa na uhusiano na cheo chake serikalini. Ndio maana tume ya maadili inaanza kuwaweka sawa na mawaziri wetu tangu mapema kabisa, ili wasije kujisahau baadae.Hivi Kuna umri wa kuwa na mali? Huoni kwamba kwa kuwa Mwalimu naye alikuwa ni Mwanadamu na mwanadamu ni kawaida kukosea basi katika hili alikosea? Leo hii bilionea Mark Zuckerberg Mwanzilishi wa Face Book ana umri wa miaka mingapi?
Mulize riz moko vizuriTatizo ni jinsi ambavyo hizo mali zinaweza kuwa zimepatikana, kupatikana kwake kama hakuna uhusiano na cheo cha mtu basi sio dhambi mtu kuwa tajiri. Tatizo ni pale mali za mtu zinapokuwa na uhusiano na cheo chake serikalini. Ndio maana tume ya maadili inaanza kuwaweka sawa na mawaziri wetu tangu mapema kabisa, ili wasije kujisahau baadae.
Zuckerberg wa Marekani ni tajiri kwa sababu mfumo mzima uliomkuza unaandaa mabilionea wa baadae. Elimu ya Marekani haishii katika kumfundisha mwanafunzi yale masomo muhimu peke yake, inamuandaa mtu ili aweze kuja kujitegemea kwa kutumia rasilimali chache zinazomzunguka. Sio Zuckerberg tu, Marekani inao mabilionea wengi tu vijana, ambao ubunifu wao umejengewa mazingira chanya na mfumo mzima wa taifa hilo kubwa duniani.
Unamlinganisha rizi moko na Zuckerberg?. Umiza kichwa chako kabla ya kuandika kitu ambacho kinasomwa na ulimwengu mzima.Mulize riz moko vizuri
Tunaangalia amepataje maliUnamlinganisha rizi moko na Zuckerberg?. Umiza kichwa chako kabla ya kuandika kitu ambacho kinasomwa na ulimwengu mzima.
Vipi kuhusu Lowassa na wale waliokuwa wanamchangia wakati wa kampeni?, umeshaangalia wamepataje il ziada waliyoichanga?. Umeshajiuliza iwapo angepata madaraka, zile fedha zilizochangwa zingelipwa vipi?. Kuna tofauti gani kati ya hizo mali za riz moko na hizo za wale waliotaka kuiingiza choo kibovu Tanzania kwa ujumla wake?.Tunaangalia amepataje mali
Baada ya kuchakachua na mkajimilikisha je watu hani mlienda kuongea nao wakwanza?Vipi kuhusu Lowassa na wale waliokuwa wanamchangia wakati wa kampeni?, umeshaangalia wamepataje il ziada waliyoichanga?. Umeshajiuliza iwapo angepata madaraka, zile fedha zilizochangwa zingelipwa vipi?. Kuna tofauti gani kati ya hizo mali za riz moko na hizo za wale waliotaka kuiingiza choo kibovu Tanzania kwa ujumla wake?.
HISA ZA SEREKALI PALE KIWANDA CHA BIA NA NBC MLIZIFANYA NINI ILI MPATE HELA YA KAMPENI?Vipi kuhusu Lowassa na wale waliokuwa wanamchangia wakati wa kampeni?, umeshaangalia wamepataje il ziada waliyoichanga?. Umeshajiuliza iwapo angepata madaraka, zile fedha zilizochangwa zingelipwa vipi?. Kuna tofauti gani kati ya hizo mali za riz moko na hizo za wale waliotaka kuiingiza choo kibovu Tanzania kwa ujumla wake?.
Wachakachuaji wakubwa ni nyinyi mlioandaa tume feki ya uchaguzi mkakutana na watu waliojiandaa mapema kabla yenu. Mliajiri mpaka watu wa mataifa ya nje ili mradi tu muingie ikulu, bahati mbaya sana awamu ya tano haina bajeti ya juisi wala vitafunio, mtakunywa maji ya UHAI halafu mseme shida yenu halafu mnapewa mkono wa kwaheri. Mwanahabari hizi habari tunazoendela kuzijadili hazitusaidii, mimi na wewe. Tuangalie namna gani nchi hii tunaweza kuijenga, kuliko kuishia kwenye maneno mengi ambayo hayaendani na shida zetu nyingi.Baada ya kuchakachua na mkajimilikisha je watu hani mlienda kuongea nao wakwanza?
Kaka tuongee ya maana yenye kuweza kutujenga kimaisha, hii issue ya uchaguzi imekwisha tangu mwaka jana. Leo tunakaribia mwezi wa tatu. Tuachane na haya maongezi hayana tija kwenye mahangaiko yetu. Tuwe watu wazima akilini, tuachane na haya maongezi ya kitoto.HISA ZA SEREKALI PALE KIWANDA CHA BIA NA NBC MLIZIFANYA NINI ILI MPATE HELA YA KAMPENI?
Alikua waziri mkuu kupitia serekali ya chama ganiNguvu kubwa inatumika kulisafisha fisadi,ccm haimtambui mtu anaeitwa lowassa kwenye vitabu ameshafutwa,subirinimahakama ya majizi na mafisadi