Yule anayethubutu kusema Lowassa Fisadi

Yule anayethubutu kusema Lowassa Fisadi

Unajuwa chaga -dema nawashangaa sana nyie ndio mlio muhita huyo fisadi papa baada ya kuja kwenu mmebadilika tuacheni siasa za ukajanja bhana basi na Sumaye mtasemaje
Wewe unaongea usichokijua ufisadi wake alafu mkamuacha ndani ya ccm?
 
Angaliea usije kuta mimi ndio Baba yako, Hizo kauli ni zile mlizokua mnatoleana huku mejifungia kwenye kachumba kamoja? REJEA KAULI YA BABA WA TAIFA, CCM SIYO MAMA YANGU WALA BABA YANGU
Baba yangu hawezi kuwa na akili matope kama hizi ninazoziona kupitia uwezo wako wa kufikiri. Aliyesema CCM sio baba yake, ndio huyo huyo aliyesema kuwa Lowassa ana mali nyingi kuliko umri wake. Na hayo maneno yalisemwa mwaka 1995, miaka 21 iliyopita, hivi sasa huyo mzee atakuwa na utajiri mkubwa kiasi gani?. Ndio maana nakwambia wewe mtoto mdogo, maandishi yako, hata ujengaji wako wa hoja ni ule wa vijana wa kidato cha tano au cha sita.
 
Lakini Baado mkamuacha kwenye chama na kumpa ukurugenzi wa Aicc, Ubunge, Uwaziri na mpaka Uwaziri Mkuu?
 
Ushabiki ndio huo wenu wakubeba wandishi wa habari na camera serekali ya Tv na Magazeti
Hapo unamsema mzee Lowassa aliyepanda daladala na kwenda mbagala akiwa na waandishi wa habari wakiwa na camera zao kiasi cha kuwasumbua abiria wengine. Aliyekwenda tandale sokoni akiandama na rundo la waandishi wa habari. Bingwa wa usanii ni Lowassa, kwani yeye kausomea kabisa chuoni.
 
Wanaoandamana na wandishi wa Habari sasa hivi niwakina nani?
 
Tusibitishie basi Kuwa Lema, Mbowe, Mnyika, Mdee and the like ni WAKURUPUKAJI kwa kushadadia ishu bila kuwa na hard evidence..
Je nyie mliyemsema ni fisadi bila kua na ushahidi wakumfikisha mahakamani nyie mliamka au mlikurupuka?
 
Wanaoandamana na wandishi wa Habari sasa hivi niwakina nani?
CCM na Lowassa ni kitu kile kile, huwezi kuyazungumzia maisha ya Lowassa kisiasa bila ya kuiongelea CCM. Ikiwa wale wa serikali wanatumia waandishi wa habari na Mzee Lowassa pia hayuko nyuma kwenye tabia hiyo. Yeye kwa sasa anawaita ofisini kwake mikocheni, sio Ufipa ambako mzee huyu alipaswa kuwepo kwani ndio makao makuu ya CHADEMA. Kumbuka kuwa msanii kutoka monduli, kahamisha kabisa ofisi za chama na kuzipeleka mikocheni ili zifanane na hadhi yake.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Je kuna Mwizi anakubaligi kua ameiba kirahisi? Je ccm mlimchukulia Lowassa Mamuzi ya kumfikisha mahakamani ilehali Takokuru na vyombo vyote vya usalama ni venu? Mwisho Jk alikua wapi mdaa wote aje kwenye kufunga kampeni ndio aseme hivyo baada ya miaka nane? Je unajua tabia ya Mnafki inavyokuaga?
Ndugu kumbuka tunaposema Lowasa ni fisadi haiondoi maovu yaliyokuwa yakitendwa na walio mzunguka na taasisi za serikali, ila cha kushukuru Mungu ni kuwa sasa kidogo ndani ya chama pamoja na serikalini tumeanza kuona uwajibikaji, ili kuonyesha hilo ulisikia tangazo la PM jana kuwa endapo mawaziri wasingerudisha zile form za maadili kwa muda waliopewa wangetimuliwa kitu ambacho usingewwza kukisikia kwenye serikali zilizopita. So lowasa akiwa fisadi haimaanishi JK ni msafi.
 
Je nyie mliyemsema ni fisadi bila kua na ushahidi wakumfikisha mahakamani nyie mliamka au mlikurupuka?
Naona unaleta ligi lakini kumbuka mfumo wa zamani ndani ccm na serikali ulikuwa wakulindana ndio maana maovu yalikua mengi na hakuna hatua zilizo chukuliwa. Lakini upinzani kwa kujua uzaifu ndani ya chama cha ccm wa kulindana na mnajua mafisadi waliokuwa ndani ya system akiwemo lowasa still mkamchukua na kumuogesha kwa jiki, i think haikuwa sahihi
 
Tusibitishie basi Kuwa Lema, Mbowe, Mnyika, Mdee and the like ni WAKURUPUKAJI kwa kushadadia ishu bila kuwa na hard evidence..
1456557967251.jpg

Reference
Mnyika
Msigwa
Lissu
Lema
Mbowe
Je nyie mliyemsema ni fisadi bila kua na ushahidi wakumfikisha mahakamani nyie mliamka au mlikurupuka?
 
Tatizo kubwa kwenye mijadala inayohusu ufisadi ni watu kutotoa hoja zenye ushahidi kwa vielelezo, badala yake inakuwa mipasho tu!
Wengi wanachukua nafasi za mbwa kwa upande walipo, wanabweka hovyo hovyo kwa yeyote anayeelekea kwa mabwana zao!
Hii ni mbaya sana, ufisadi hautaisha kwa mipasho!
 
Mkuu bila LOWASA raisi angekuwa MEMBE kamwe MAGUFULULI hawezi mgusa mzee Jk nae ana jua bila Lowasa raisi angekuwa Salmini Lowasa jembe bwana.Akiwa ndani ya ccm alipendwa alipo hama ikawa mahaba nje ya ccm
Umewakumbusha vizuri sana.lazima magufuli amheshimu lowassa ndiye aliyesaidia kumuengua membe na kumbakisha magu.
 
Back
Top Bottom