Kama kunawatu wanajitoa ufaham mkuu ni cdm, wwamesahau kuwa walimuarika fisadi edo ili awe rais, halafu wakasahau kuwa walitumia miaka zaid 7, kutuambia ni fisadi, na ushahidi upo, halafu wakatumia nusu saa yaan dk30, kutuambia edo si fisadi, asee itz only in tz,
Niwakumbushe hyo edo amekuja kukiua chama na amewang,ang,ania kweli, mpaka ofc imehamia mikocheni, ile ajenda ya kupinga ufisadi ilikuf ghafura, sasa kama kwa dk 30 mlibadili mawazo, je mgepewa nchi, si mngebadili katiba muongoze milele? Hayo makosa hayawezi kufanyika tz,
Edo ni fisadi na hakuna njia nyingine ya kumsafisha...