Yule anayethubutu kusema Lowassa Fisadi

Yule anayethubutu kusema Lowassa Fisadi

Dr. Mihogo huyo mliomnusuria nyumba yake kuzwa? Alimkana baada yakushtukiwa kua muhusika mkuu ni yeye hata Lowassa alisema Mamlaka ilitoka juu
Kumnusuria nyumba ni suala moja, yeye kuwa mkweli kwa nafsi yake ni suala jingine kabisa. Kumnusuria nyumba ni suala moja, na yeye kukataa kununuliwa na fedha za mmeru, ni suala jingine kabisa. Huyo Lowassa ndio chanzo cha matatizo mengi enzi za JK, lakini mkwere alimvumilia, huyu mzee wa Chato hatovumilia upuuzi wowote ule kutoka kwa Mmeru, fanyeni hima mumfahamisha mapema. Lowassa ni mstaafu, kubaliana kwanza na ukweli huo. Hana tofauti na wastaafu wote walio hai kwa sasa. Usijaribu kumpandisha hadhi ambayo historia inaonyesha kuwa hana.
 
Hujui usemacho.....tuliokuwa chadema kwa kufuata misingi tunatambua. Mamvi fisadi na ameinunua CHADEMA!
Haha chadema hakunaga fisi wala chadema haipo Lumumba unafananisha na hapo Lumumba mnavyonunuana na vile vikaratasi mnavyoviwekaga mfukoni wakati wa uchaguzi nakutoka na majina yenu mnayotaka, bila bahasha za kaki hakuna ccm kiuwalisia
 
Kumnusuria nyumba ni suala moja, yeye kuwa mkweli kwa nafsi yake ni suala jingine kabisa. Kumnusuria nyumba ni suala moja, na yeye kukataa kununuliwa na fedha za mmeru, ni suala jingine kabisa. Huyo Lowassa ndio chanzo cha matatizo mengi enzi za JK, lakini mkwere alimvumilia, huyu mzee wa Chato hatovumilia upuuzi wowote ule kutoka kwa Mmeru, fanyeni hima mumfahamisha mapema. Lowassa ni mstaafu, kubaliana kwanza na ukweli huo. Hana tofauti na wastaafu wote walio hai kwa sasa. Usijaribu kumpandisha hadhi ambayo historia inaonyesha kuwa hana.
Ndio Maana mlimpa airtime ya mdaa mrefu kwenye vyombo vya habari ili amchafue Lowassa? Na ulinzi juu? Sham on you kweli mmeishiwa pumzi bosi wake hana cha kukwepa kutokana na yale makandokando ya RICHMOND
 
Shame on EL, alihakikisha anawaweka mfukoni maeditor wa magazeti yote ili aweze kuziteka akili za walio wengi. Lakini kumbuka kuwa nchi hii ilikabidhiwa kwa Mungu usiku wa kuamkia tarehe 9 desemba 1961, pepo mchafu hawezi kuidhuru hata siku moja. Nguvu chafu za EL, zikashindwa kuibomoa ngome inayolindwa na Mungu. Lowassa bila hata ya juhudi za Dr Slaa, anaandamwa na maneno ya hekima ya mwasisi Nyerere. Nguvu ya hoja zilizojengwa miaka zaidi ya 20 iliyopita na Mwalimu Nyerere, bado zinaishi mpaka leo, hata bila ya Slaa, EL alikwishapotezwa.
 
Wewe ndio unaongea vioja kweli kweli haoni jinsi mlivyomkosea Mwalimu kwa mambo mnayofanya? Lowassa Ndio alikua chaguo la Watanzania hata nyie mnajua hilo
 
Kwa akili timamu huwezi kuacha kumpigia kura Magufuli ahalafu umpigie kura Lowassa. Kumbuka kuwa kiafya Lowassa hakuwa vizuri katika kipindi chote cha kampeni, ni siku za karibuni ndio afya yake imekuwa nzuri. Siku zote mpiga kura huitazama nuru aliyonayo mgombea, kwani mgombea hubeba matumaini ya mpiga kura. Mgombea anapokosa nuru usoni na mwilini, mgombea hupoteza matumaini, na hakuna kitu kibaya kwa mtu wa kipato cha chini kama kupoteza matumaini pale anapomtazama mgombea wa urais. Lowassa alipoteza nuru katika kipindi chote cha kampeni. Magufuli baada ya kuutambua udhaifu wa Lowassa wakati wa kampeni akadiriki kupiga pushup jukwaani, ili mradi aufikishe ujumbe kwa watu kama nyinyi. Nyerere alisema CCM bado haijawa ni chama cha matajiri. Utajiri na Lowassa ni kama vile mchaga na mbege, ni kitu ambacho hakijifichi.
 
Haha chadema hakunaga fisi wala chadema haipo Lumumba unafananisha na hapo Lumumba mnavyonunuana na vile vikaratasi mnavyoviwekaga mfukoni wakati wa uchaguzi nakutoka na majina yenu mnayotaka, bila bahasha za kaki hakuna ccm kiuwalisia
Kama kweli chadema basi mmechanganyikiwa kweli!! Fuatilia post zangu toka ni lipo jiunga JF sijawahi na sitakaa ni if agile CCM....! ÇDM nimeanza kuwa dharau baada ya kumkaribisha fisadi!
 
Mihimili kweli ni mitatu,ila ni kama ifuatavyo;
1.Serikali:kiongozi mkuu ni Rais
2.Mahakama:kiongozi mkuu ni Jaji mkuu
3.Bunge:kiongozi mkuu ni Spika wa bunge.
Huo mhimili wako wa kwanza kidogo umenipa utata.
Umejitahidi ndugu. Ila mhimili wa kweli nchi hii ni mmoja tu.
1. Rais ni kiongozi wa serikali
2. Rais ni sehemu ya bunge. Bila saini yake muswada Hauwezi kuwa sheria na ana uwezo wa kulivunja bunge
3. Rais ni mamlaka ya uteuzi na ya hidhamu ya Jaji mkuu, majaji wote wa rufaa, majaji wote wa mahakama kuu etc.

Kwa ufupi nchi hii ina mhimili mmoja tu naye ni Rais na kwa sasa ni Mheshimiwa Dr. JPM.
 
Kama CCM hawakuwa na ushahidi wa ufisadi wa Lowasa basi alikatwa jina lake kwa fitna na majungu period. Sasa naanza kuamini kuwa mhusika mkuu wa Richmond ni yule aliyetajwa na Lissu ambaye ndiye aliyesimamia kikao cha CC kuchuja majina ya wagombea wa CCM. Na ambaye leo hii Magufuli anasumbuka kutumbua majipu aliyoyaumua yeye. Very interesting!
Lissu huyuhuyu aliyeshiriki kuandika waraka wa mafisadi akiwemo lowasa fisadi namba 11??????
 
Umejitahidi ndugu. Ila mhimili wa kweli nchi hii ni mmoja tu.
1. Rais ni kiongozi wa serikali
2. Rais ni sehemu ya bunge. Bila saini yake muswada Hauwezi kuwa sheria na ana uwezo wa kulivunja bunge
3. Rais ni mamlaka ya uteuzi na ya hidhamu ya Jaji mkuu, majaji wote wa rufaa, majaji wote wa mahakama kuu etc.

Kwa ufupi nchi hii ina mhimili mmoja tu naye ni Rais na kwa sasa ni Mheshimiwa Dr. JPM.
Mazezeta awajui hilo.katiba ya wafu kwa walio hai
 
Kwangu Mimi
Mtu yeyote mwenye mamlaka akizungumza Kuwa Lowasa ni fisadi na hawamchukulii hatua zozote namuona ni sawa na Malaya tu.
 
Kwa akili timamu huwezi kuacha kumpigia kura Magufuli ahalafu umpigie kura Lowassa. Kumbuka kuwa kiafya Lowassa hakuwa vizuri katika kipindi chote cha kampeni, ni siku za karibuni ndio afya yake imekuwa nzuri. Siku zote mpiga kura huitazama nuru aliyonayo mgombea, kwani mgombea hubeba matumaini ya mpiga kura. Mgombea anapokosa nuru usoni na mwilini, mgombea hupoteza matumaini, na hakuna kitu kibaya kwa mtu wa kipato cha chini kama kupoteza matumaini pale anapomtazama mgombea wa urais. Lowassa alipoteza nuru katika kipindi chote cha kampeni. Magufuli baada ya kuutambua udhaifu wa Lowassa wakati wa kampeni akadiriki kupiga pushup jukwaani, ili mradi aufikishe ujumbe kwa watu kama nyinyi. Nyerere alisema CCM bado haijawa ni chama cha matajiri. Utajiri na Lowassa ni kama vile mchaga na mbege, ni kitu ambacho hakijifichi.
MAANA ULIMPIMA? ALIZUNGITA TANZANIA NZIMA TENA BILA KUKOSA HATA SIKU MOJA KWENYE KAMPENI HUYO WENU UNAKUMBUKA KUNA SIKU HAKUONEKANA? NA HUYO HUYO MWALIMI WA TAIFA HILI UNAKUMBUKA ALISEMA NINI UKIKOSA NDANI YA CCM UTAPATA NJE YA CCM? KUWA MKWELI WACHA KUCHUKULIA MAMBO JUJU
 
Kama kweli chadema basi mmechanganyikiwa kweli!! Fuatilia post zangu toka ni lipo jiunga JF sijawahi na sitakaa ni if agile CCM....! ÇDM nimeanza kuwa dharau baada ya kumkaribisha fisadi!
Fisadi maana mlimpeleka mahakamani?
 
Baada ya ccm kumwanzishia figisu figisu ndani ya chama kumbe ni maslai binafsi wananchi waliamini na viongozi wa upinzania waliaminishwa hivyo baada ya ukweli kujulikana hata juzi Freeman amewataja Majipu makuu matatu kwenye nchi hii

Wana JF,
Kinachosumbua hapa Tanzania kwa sasa ni siasa za MAJITAKA !
Kwa wale tunaojua kisa cha EL kujiuzulu u-PM ni hicho pamoja na WIVU,Chuki na Tamaa ya madaraka. Mtakumbuka wakti EL anajiuzulu aliweka bayana na iko Keene Hansard kwamba tatizo wala haikuwa RICHMOND baali ilikuwa ni u-PM!

Tunajua mzee wa Kasi na Viwango SS alikuwa anaunyatia u-PM mara tu awamu ya 4 ilipoanza na alishaahidiwa na JK lakini yakatokea mageuzi yaliyomwuzi SS hivo aliamua kuwakomoa JK na swahiba wake EL!

Lowassa kama Lowassa hana kosa Hata Mona la KIFISADI! Niwajuavyo CCM kama wangelikuwa wana uhakika wa ufsadi wake tayari sasa angelikuwa Segerea!
 
Asante sana hawa nusu vijiko wa lumumba wanajitoa ufahamu tuu hapa
 
Waliompokea kwa dhati kutoka moyoni ndio waliotumia nguvu nyingi katika kumuita fisadi, sasa ujumbe wa thread yako uanze kuwahoji hao hao ambao walimtusi na leo kumkumbatia kwao ni kitu rahisi kabisa. Video zinazowaonyesha hao waliomtusi zipo hapa JF na mara nyingi tu waungwana wanazioweka kwenye maandiko yao kwa nia ya kutilia mkazo hoja wanazojenga.

Waliothubutu kumuita Lowassa fisadi ni wengi sana, usiwaangalie tu wale ambao hawajaamua kushughulika naye kwa sasa. watazame na wale ambao waliingia katika mkumbo wa kumsimanga lakini fedha ndefu imezipofusha akili na fikra zao na wameamua kubadili kabisa kauli, wamegeuka watetezi maarufu wa yule yule waliyemjengea hoja mbaya kwa Watanzania.
Ulipelekwa shule kicheza wewe siyo kusoma maana nyumbani ulikua mtundu sana
 
Mkuu unapata wapi ujasiri wa kumtetea EL?

Hebu ongea kama mwanachadema halisi tunayoijua toka enzi na enzi, unapataje ujasiri wa kuandika makala ndefu hivi kumtetea EL?

Najua huna jinsi maana EL upo nae nyumbani lkn ili kuficha aibu ungekaa tu kimya....

unapata wapi ujasiri wa kutomtete EL?
 
Back
Top Bottom