Yule ambae humtaki ndio mumeo

Yule ambae humtaki ndio mumeo

Kuna mwanamke nilishawahi kumtongoza akacheka. Eti

Hahaha. Hadi na leo sijamsahau. Imagine unamtongoza mtu upo serious kabisa umejilamba midomo na kusuuza sauti kisha anaishia kucheka eti hahahaha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una matukio[emoji134][emoji134][emoji134]

Hata mi nishawahi kucheka jamani, yaani unajua ile unamchukulia mtu poa alafu eti anajifanya yuko serious anakutongoza[emoji849][emoji849] walah lazima cheko litoke[emoji85]
 
Anaforce kinoma, na watu nao full kunipa presha kama zote!

Eti ntajuta mbele kupoteza upendo kiwango kile, coz siku hizi wanaume wa hivi hamna tena....[emoji848]

Anyway life goes on....

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Lakini sio wote pia wanaokamia huwa wako real, mwanaume akipania kitu si unawajua. So waweza kuta hata hakuwa na hizo sifa. Sauti ya ndani yako ni ya kuiheshimu sana kuliko kelele za watu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una matukio[emoji134][emoji134][emoji134]

Hata mi nishawahi kucheka jamani, yaani unajua ile unamchukulia mtu poa alafu eti anajifanya yuko serious anakutongoza[emoji849][emoji849] walah lazima cheko litoke[emoji85]
Sasa unanichukuliaje poa?

Hiyo poa ndiyo ipoje? Na inasababishwa na nini?
 
Unakuta nakufahamu vizuri tu ulivyo chitombi maybe, alafu ulete hizo story!! Lazima uonekane kituko.
Tatizo wanawake wengi mnachukulia mahusiano ya kimapenzi serious saana.

Kabla hujawa na mtu ushafikiria shoga zangu watanichukuliaje, mtaani watanichukuliaje, mambo kibao....

Kudate kimsihara ndiko kuzuri hadi mnaingia deep sasa.
 
Back
Top Bottom