Unachokiongea hapa ni ukweli mtupu....wanaume wazuri bado wapo, na wenye mapenzi ya kweliHahahah asee wangu now kama hajazaa... unajua nilichobaini ni kwamba mapenzi bora ni yale yanayoanza kwa kusuasua... Huyu wangu nilimpata kama mbadala wa yule manzi ila si kwa ajili kumuonesha la hasha.. Niliamua kutembea mbele..
Nimeweka vionjo hivyo kwa maana kubwa.. WANAWAKE WENGI WANA DREAM KUBWA LAKINI UHALISIA HAUKO HIVYO... WANATAKA MTU HANDSOME NA AWE NA KAZI ZA MAANA, NYUMBA NA MAZAGA KAMA YOTE.. KUMBE LIFE HALITAKI HIZO MAMBO.. BE HUMBLE MTAFUTE MWANAUME SMART.. ANAKUJALI ANAJALI FAMILIA YAKO.. HAKUPIGI NA ANATIMIZA WAJIBU WAKE KAMA MWANUME ASEE MPENDE SANA..
Sent using Jamii Forums mobile app
WANAWAKE WABINAFSI SANA NYIE...Na ndivyo inakuwaga lakini mimi nashauri wadada mtizame mioyo yenu iko wapi ikiwezekana olewa na unaempenda
Kuishi na mtu kisa tu ye anakupenda sana lkn wewe humpendi kivile ni mtihani mzito sana kuzidi matusi ya humu kwa masingle mama
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes...kwenye herufi kubwa kamwaga madini tosha!Haha wako unamsifia; ex unamkandia eeh
Huko kwingine kwa herufi kubwa umeongea vyema
Wanini?[emoji57][emoji57][emoji57]...yaaan hata ningekuwa sina siwezi mrudia!
Bora wa kwanza..chaaa!Ipi inauma, kufikia kwenye hela ukazila kisha ukatemwa kama big G au kuwa na mtu maskini unamvumilia na msoto wake akishazipata anakutema kama big g
Ujue kapeace ishu iko hivi...we unayempenda yy hakupendi na anayekupenda kwa dhati we humpendi.....sijui why hii ishu asee[emoji848]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]Niseme ukweli dadangu.. Tamaa za wadada wengi ni level ya juu kweli kweli.. MAPENZI HUJENGWA, ALWAYS TUNA BUILD LOVE, Hakuna mtu anampenda mtu kwa siku moja.. Mapendo lazima yaambatane na sababu sahihi kama kujituma, kujali nk.. mapenzi hayapo eti jamaa handsome, ana hela nk.. ukiona unampenda mtu kisa uzuri wake DADANGU jua wazi hukumpenda na siku akikutana ajali ya boxer ndio nitolee.. MAPENZI NI BUILD UP STATE OF MIND.. Mnaweza mkaanza kwa kutoelewana au mmoja akimnyanyasa mwenzie lkni mwishoni mkafika mkabargain kuwa mwenzangu yuko hivi ma hapendi hivi..
Jengeni wapenzi wenu.. tengeneza mazingira ya kumpenda yule anayekupenda.. HATA YESU ARUDI TENA MAPENZI HAYAWEZI KUBALANCE ETI 50/50 lazima kuna mmoja anamzidi mwenzake na the way mnavyoishi ndio mnakaribisha hiyo balance ingawa haitokuwa balanced..
MM NINA DADA YANGU KISA WEUPE, UREFU WAKE NA MSHEPU kakataa wanaume kibao now kila mwezi anataka pesa zimsaidie maisha huko mkoani kwetu... PUMBAAVU ZAKE nashindwa kumkatia waya kisa dada toke nitoke...
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji134]Nani amekwambia mimi napenda vilaza? Na hao vilaza ndio wenye pesa au...?
The same ....ujue hawa hayajawakuta!Mimi sikatai kabisa, mapenzi ni process hasa kwa sisi wanawake hata mimi ni shahidi mzuri wa hilo lakini sio kila wakati hii kitu inafanya kazi jamani hebu eleweni. Mimi kuna mtu nafahamiana nae huu mwaka wa tano...hana kasoro yoyote, mchapakazi, kujali kama kote ila moyo wangu haujawahi kushtuka kwake na hii nilishawahi kuielezea hata kwenye uzi mmoja hivi.
JIFUNZE KUMPENDA MPAKA UMPENDE...INAWEZEKANA...Mtu kama humpendi hutamsamehe akikuosea
Hutamvumilia katika magumu yake ugonjwa uchumi nk
Hutafurahia nae tendo la ndoa utatoka nje kumtafuta wa kukufurahisha
Utaishi kinafiki sana usoni tabasamu huku moyoni ni majuto na kilio
Hizo ni hasara nazoziona....
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28]chizi weUkiwa tayari kunipa hela yako bila kuumia rohoni ni-pm haraka kabla akina Witnessj hawajakunyang'anya nafasi[emoji847]
Sent using Jamii Forums mobile app
WENZAKO AMBAO NI MASINGLE MOTHERS NA WAO WALIKUWA WANASEMA HIVYO HIVYO KAMA WEWE...Nijute nini sasa wakati mimi ndio nafuatwa ??[emoji848][emoji848]...na kwa taarifa yako mpaka sasa hivi yupo tu anadeal na mimi hajakata tamaa!...ila moyo wangu ndio hivo umegoma!
Sent using Jamii Forums mobile app
Group la tatu lipo nashangaa watu wanatufosi tukae kwenye magroup yale mawili, kama wao wamechagua hayo ni tatizo lao binafsi ebooUko subjective,iko hivi;
1.Unayempenda vs yeye Hakupendi
2. Anayekupenda vs wewe Humpendi
3.Unayempenda vs Anayekupenda=Mnapendana.
Hilo grp la 3 lipo wacheni kugeneralize na kurithi maneno ya wahenga na kubase kweny magroup 2 ya kwanza.Mnawa(tu)kosea group la 3.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kutii ninini??Yes ili ibalance maana mkipendana mnao pendana wale wasio pendwa watapendwa na nani....kwaio ndomana lazima kuna mmoja ampende mwenzie sana kuliko mwingine na iyo kazi ya kupenda wamepewa wanaume ...wanawake viherehere tu vinawaponza nasisi kujipa jukumu la kupenda sisi kazi yetu ni kutiii....
am better here
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji28][emoji16][emoji16] kwa sababu ninyi ni mijitu
Kwahiyo umebwaga manyanga!I tried three years consecutively but I failed.