Yule aliyesema wapinzani ni sawa na Corona, yupo wapi siku hizi?

Ok. Wanaweza kutufikisha si unaona ccm wanafanya majaribio ya kuongoza taifa kwa miaka zaisi ya maisini sasa na bado wanajifunza.........
Ukiangalia hata sera wanaiba za upinzani sasa kwa sababu hazikua zao wanashindwa namna ya kuzitekeleza.....
Wanatumia kivuli cha sera za upinzani kuongoza dola na bahati mbaya bado wameshindwa
 
Wanapukutika taratibu, sad news still follow up
Ugonjwa hauchagui
Screenshot_20200427-213414.jpg
 
Kuna mtu sijui ni nani ambaye aliwafananisha wapinzani ni sawa na corona.
Tanzania tuna vyama vyingi, maana yake ni kwamba mpinzani wa CUF anaweza kua NCCR-mageuzi, CCM mpinzani wake anaweza kua TLP n.k

Huyu aliefananisha mpinzani na corona yuko wapi mbona kaikimbia huku mjini?

Kwanini watu wanapenda kujichimbia hivi?

Ni dhahiri kua hakujua corona ni nini hadi aite mpinzani hivyo?
Sifa za corona ziko nyingi, je kuita wapinzani ni corona ndiko kunakowaua wao?
Yupo chato kwa baba yake anajifukizia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom