Yule aliyesema wapinzani ni sawa na Corona, yupo wapi siku hizi?

Kuna mtu sijui ni nani ambaye aliwafananisha wapinzani ni sawa na corona.
Tanzania tuna vyama vyingi, maana yake ni kwamba mpinzani wa CUF anaweza kua NCCR-mageuzi, CCM mpinzani wake anaweza kua TLP n.k

Huyu aliefananisha mpinzani na corona yuko wapi mbona kaikimbia huku mjini?

Kwanini watu wanapenda kujichimbia hivi?

Ni dhahiri kua hakujua corona ni nini hadi aite mpinzani hivyo?
Sifa za corona ziko nyingi, je kuita wapinzani ni corona ndiko kunakowaua wao?
Serikali ya ccm na viongozi wa ccm wamejilockdown halafu wamewatelekeza watanzania wateketee law corona.

huyu aliyetuletea hili genge la kigaidi sijui alifikri nini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ya ccm na viongozi wa ccm wamejilockdown halafu wamewatelekeza watanzania wateketee law corona.

huyu aliyetuletea hili genge la kigaidi sijui alifikri nini ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kilichotokea mwaka huu na miaka mingine kila mtanzania ataelewa thamani ya kura ni nini!

Viongozi wanatelekeza wananchi ilihali hakuna huduma za afya za uhakika..itakua fundisho.
 
Back
Top Bottom