Hv we unatumia nini kufikiri? We ufanye uhalifu wako huko uje kumlaumu mtu asiyehusika? Hz ni siasa gani za hovyo hivyo? Zitto alimtuma kwenda kushindana na mahakama? Mnasema hakukuwa na amri ya mahakama, jaji mkuu tamko lake siyo amri? Shida ya wanasheria wa nchi hii ni very arrogant, wajuaji, wabishi wakati tunawajua ni IQ ndogo sana walikuwa wanakariri Historia leo wanajua kila kitu! Hopeless kabisa! Apambane na upumbavu wake! Sheria ni fani ya hovyo sana ya kuwarudisha wananchi nyuma kimaendeleo!