technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 13,635
- 58,276
Kondoo mwituAu ndio kulamba asali?
Madeleka anateseka mwanachama wa ACT yeye kala buyu?
Hivi Zitto atawaadaa watanzania mpaka lini?
Nadhani alishatekeleza wajibu wake katika kuongoza ACT wazalendo na atastaafu kwa heshima, bilashaka yoyote anaendelea na mambo mengine binafsi na ya kifamilia yake kadiri anavyoona inafaa 🐒Au ndio kulamba asali?
Madeleka anateseka mwanachama wa ACT yeye kala buyu?
Hivi Zitto atawaadaa watanzania mpaka lini?
Madeleka si alijitoa ACT au alirudi tena?Au ndio kulamba asali?
Madeleka anateseka mwanachama wa ACT yeye kala buyu?
Hivi Zitto atawaadaa watanzania mpaka lini?
Na liuso lake la matotobo matotobo akafie mbali tapeli wa kisiasaNadhani alishatekeleza wajibu wake katika kuongoza ACT wazalendo na atastaafu kwa heshima, bilashaka yoyote anaendelea na mambo mengine binafsi na ya kifamilia yake kadiri anavyoona inafaa 🐒
ok.🐒Na liuso lake la matotobo matotobo akafie mbali tapeli wa kisiasa
wewe ndie msemaje wa zitto kabwe au mke wake?Na liuso lake la matotobo matotobo akafie mbali tapeli wa kisiasa
Zito Kwa sasa analinda kura maana ni chama chake pekee ndio kinauwezo wa kuitisha maandamano.Au ndio kulamba asali?
Madeleka anateseka mwanachama wa ACT yeye kala buyu?
Hivi Zitto atawaadaa watanzania mpaka lini?
Choko karogwa tenaNadhani alishatekeleza wajibu wake katika kuongoza ACT wazalendo na atastaafu kwa heshima, bilashaka yoyote anaendelea na mambo mengine binafsi na ya kifamilia yake kadiri anavyoona inafaa 🐒
Chokook.🐒
Hao wadudu wanaitwa Jewe.
Mwanaume mzima unamsema mwenzako kwa aina ya sura yake?Na liuso lake la matotobo matotobo akafie mbali tapeli wa kisiasa
🤣🤣🤣🤣Mwanaume mzima unamsema mwenzako kwa aina ya sura yake?
Wewe uzuri wako wa sura umekuongezea nini au umeitwa kwenye mashindano ya walimbwende ?