Yuko wapi yule kibaka aliyetumwa na mayahudi kufanya kazi iliyowashinda?

Webabu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2010
Posts
10,488
Reaction score
16,646
Kijana huyo alijulikana kama Alshababa.Alipewa kazi ya kupambana na Hamas na yeye akapewa siku 14 kujisalimisha kujibu kosa la kukubali kuwasaliti wapalestina.
Baada ya hapo akasema yeye anataka kuwaunganisha watu wa Gaza waachane na Hamas.Alipewa kila msaada na waliomtuma,
Kwa kumbukumbu zangu tangu siku hiyo,zaidi ya mwezi sasa hajasikika tena na wala hatajwei na hata wale waliomtuma.
 
Una maana ya Abu Obaida?
 
Hapa Tanzania huwa tunaambiwa majini yana nguvu sana na hayaonekani.

Kwanini hayasaidii vita huko uajemi na gaza?
 
Back
Top Bottom