Yuko wapi Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa?

Yuko wapi Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa?

Status
Not open for further replies.
Wakuu, nilikuwa nataka kujua alipo huyu mzee maana sijamuona kwenye izi pilika pilika za kumuaga baba etu pombe magufuli, maana uyu mdudu ( uvico 19 ) anacheza na vigogo tu.

Taarifa kwa ufupi.
images.jpg
 
Kweli Mungu fundi aiseee,alieitwa mgonjwa na maiti inayotembea anadunda lakini wale waliojiua vyuma na miamba mpaka push up wakapiga sasa hivi washalamba udongo na wengine tarehe 26/3 tunawafukia.
Mungu ni wetu sote
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom