Yuko wapi Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa?

Yuko wapi Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa?

Status
Not open for further replies.
peno hasegawa kwani kabudi umemuona?
Kwani Kabudi naye ni mgonjwa; mbona nimefuatilia akiwa kwenye missions mbalimbali, Ufaransa, Vatican na kadhalika. Miezi michache iliyopita watu walisema Kabudi you taabani kumbe siyo kweli!

Halafu mimi ningependa mtu kama Kabudi ndiye awe Makamu wa Rais; ni mtu mtiifu na mwenye msimamo sana. Nchi hii inataka viongozi wenye misimamo, siyo viongozi brah brah!!
 
Kwani Kabudi naye ni mgonjwa; mbona nimefuatilia akiwa kwenye missions mbalimbali, Ufaranza Vatican na kadhali. Miezi michace iliyopita watu walisema Kabudi you taabani kume siyo kweli!...
Huyo mtu aliyesema katoka kwenye takataka ndiye awe nani? Pathetic
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom