Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 4,814
- 3,761
Wadau ningependa kujua yuko wapi yule mtangazaji maarufu wa enzi zile bongi flevor ndo inaanza Ndg Sebastian Maganga, namkumbuka alimsidia sana q chief kutoka enzi akiwa mzimuni famili. Last time nilikuwa nikimsikia redio uhuru. Pia ningependa kujua yuko wapi yule mshika mike wa enzi hizo hiphop bongo inaanza bwana sos B, naukumbuka sana wimbo wake wa ''kukuru kakara zako wewee! Zitakuponza we, acha wee, acha weeee! Mwenye info atujuze wako wapi hawa watu.