Yuko wapi sebastian Maganga na Sos B?

Mamaya

JF-Expert Member
Jul 4, 2011
4,794
3,724
Wadau ningependa kujua yuko wapi yule mtangazaji maarufu wa enzi zile bongi flevor ndo inaanza Ndg Sebastian Maganga, namkumbuka alimsidia sana q chief kutoka enzi akiwa mzimuni famili. Last time nilikuwa nikimsikia redio uhuru. Pia ningependa kujua yuko wapi yule mshika mike wa enzi hizo hiphop bongo inaanza bwana sos B, naukumbuka sana wimbo wake wa ''kukuru kakara zako wewee! Zitakuponza we, acha wee, acha weeee! Mwenye info atujuze wako wapi hawa watu.
 
Sebastian Maganga ni programme manager clouds fm.

kweli naamini sasa kwamba kwa asili kila mtu ni mdaku, sema tu wengine udaku wao umejishindilia moyoni hautoki ng'ooooooooooooo!
 
Kama ulijua kuwa Seba aliwahi kuwa Uhuru usingeshindwa kujua kuwa kwa sasa yupo wapi. Hayo mambo ya promo ndiyo huwa nayapiga vita siku zote. Hakuna shaka yoyote kuwa umetumwa na Seba kumpimia upepo JF.
 
Ha ha ha ha kukuru kakara zako wewe zitakuponza acha we achaaa sos b around the country
 
Back
Top Bottom