Yuko Wapi Sakina Dattoo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yuko Wapi Sakina Dattoo?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ng'wanangwa, Jan 7, 2011.

 1. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #1
  Jan 7, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  Nimem-miss sana.

  Ni nadra sana kuona Mtanzania mwenye asili ya Asia akikemea ufisadi katika taifa hili la Tanzania linalonuka uozo wa rushwa kila kona.

  Yuko wapi?
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Jan 7, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,473
  Likes Received: 5,852
  Trophy Points: 280
  Kaolewa...mdomo fullstop
   
 3. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #3
  Jan 7, 2011
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,920
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  kweli aisee where is she?
   
 4. M

  Mkorintho JF-Expert Member

  #4
  Jan 7, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 353
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ina maana baada ya kuolewa na career amechange ama? Yuko poa sana kiukweli na mfano mzuri kwny media industry
   
 5. K

  Kagasheki Member

  #5
  Jan 7, 2011
  Joined: Apr 12, 2010
  Messages: 34
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huyu mwanahabari yuko Uingereza anajiendeleza kielimu.Tunamuombea ahitimu masomo yake ili arudi kuiendeleza taaluma yake ktk kutatua changamoto zinazotukabili hivi sasa.Hakika amejaliwa kipawa cha kujieleza vizuri na kukubalika miongoni mwa jamii.
   
 6. Mpevu

  Mpevu JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 1,816
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  i also mic ha on media, mwenye habari atujuze.
   
Loading...