moses Mwanja
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 534
- 462
Naomba nisiwachoshe wakuu, kama mada isemavyo naomba kujua huyu jamaa aliyeimba wimbo wa hip hop uitwao nakupenda hip hop, wa kuitwa Roho 7 yuko wapi siku hizi? Leo nimesikiliza nyimbo yake na kugundua jamaa alikuwa siyo wa kupotea hivihivi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app