Yuko wapi roho saba.

moses Mwanja

JF-Expert Member
Oct 8, 2016
534
462
Naomba nisiwachoshe wakuu, kama mada isemavyo naomba kujua huyu jamaa aliyeimba wimbo wa hip hop uitwao nakupenda hip hop, wa kuitwa Roho 7 yuko wapi siku hizi? Leo nimesikiliza nyimbo yake na kugundua jamaa alikuwa siyo wa kupotea hivihivi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Roho Saba namkubali sana hasa nyimbo zake za nakupenda hiphop na waite polisi.
Ni mrembo fulani mwenye urefu wa wastani, kwa mwendo wa paka akitembea amfike nani?
Ana sura ya ukweli, figa ya hatari, kiuno kimejinyonga ka kitanzi, macho ya duara ka round about ya msimbazi.
 
Ebwana eeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ukiwa mwanajeshi hauruhusiwi kuimba wakuu mbona mi niliona polisi wa Kenya anahojiwa Churchill anasema yeye ni polisi na muziki anafanya au kwetu shida ni nini
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom