Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,722
hako kasentensi ka mwisho ?muacheni apumzike mana ilifikia kipindi kila ghorofa mjin ni la rizone kila gari Kali ni la rizone kila mwanamke mzuri rizone kala
Achana nae huyo amekariri!! Hivi mtu akae barazani kutwa nzima chakula unampelekea wewe?? Nyumba umemjengea ww??Wako kimya wanawatumikia wananchi wao mnawafokonyoa, kama unatokea jimbo lake na unahisi hawajibiki ndo uje hapa kulalamika, hayo mengine ni maisha binafsi jamani, Na hao watu wa PWANI Wamekuja kukuomba kula baada ya kukaa vibarazani???
Kumbe nayeye anaisoma namba !!
Huyo hapo amekabidhi madawati juzi tu hapo wiki kama mmoja imepita. Uache umbeya fanya kazi hakuna dezo safari hii
Ndio yuko anaisoma namba kwa kutekeleza wajibu wake.Kumbe nayeye anaisoma namba !!
Yes upo sahihiMtoto WA mwenzio nae wako msimseme vibaya RK mwacheni.
Mbona kwa jk alikuwa anatokea kila mudaAkitokeza sana kwenye media kelele,asipotokeza kelele,sijui unatakaje mkuu!
View attachment 389718
Sikusikii tena kwenye media kama ilivyokuwa enzi za utawala wa baba yako nini kimekupata?
Nilisikia wanatangaza mikoa masikini Tanzania yote kutoka kanda ya ziwa sikukuona hata ukitokea kuwatetea Wanachi wa pwani ambao wanaishi kwenye umasikini wa kutupwa
Hivi kweli ulikubali kuwa Mwanza ni masikini kuliko Pwani?
Wanachi wa pwani wanaoshinda vibalazani wanapiga story ndio waje wawe matajiri kuliko Mwanza ??
Nini tatizo umepotea kwa media?
Hata bunge lililokuwa Giza sikuona jitiada zako kuwasemea wanyonge wa pwani?
Au tumbua majipu imekukumba?
Au ulitaka nafasi ya uwaziri ikakosa ukasusa??
Bado sijaelewa nini Tatizo?
si baba yakeMbona kwa jk alikuwa anatokea kila muda

Haaaaaah kituko hiki hivi nawewe unakubali Mwanza ni masikini kuliko pwani?nipo jimboni kwangu nashirikiana na wanachi wangu kuleta maendeleo!
we unadhani pwani tumelala kama watu wa mwanza wamekalia chagulaga mayo! sisi tunashinda vibarazani wakati huohuo mananasi yanakua,mihogo inakua au ulitaka tulale shamba au tukatembee mlimani city kama wasukuma wanavyoenda kupiga picha rock city mall!
Haaaaaah kituko hiki hivi nawewe unakubali Mwanza ni masikini kuliko pwani?