Yuko wapi Renee Lamira?

Alikuwa Barclays Bank kwa miaka kadhaa amehamia Ernst and Young ,yuko poa sana!ameokoka haimbi tena nyimbo zile labda atatoka na gospel!

Huyo tunapiga naye mzigo NMB kwa sasa na anahudumu kama Pastor kwenye haya makanisa ya Ki-Nigeria Tegeta.
 
sure nishakumbuka kama sikosei alikula shaba..... hivi ndio yeye aliyeibiwa pete alipokuja Bongo?

Namuongelea renee demu wa mr cheeks,alidedi...alieibiwa pete bongo ni cheeks mwenyewe,ila aliepigwa shaba ni ndugu yake by the name Freaky Tah
 
Namuongelea renee demu wa mr cheeks,alidedi...alieibiwa pete bongo ni cheeks mwenyewe,ila aliepigwa shaba ni ndugu yake by the name Freaky Tah

Saluti mkuu, aisee Jeiefu Jungukuu umenikubusha mbali sana. Wakati huo Dar ni Dar es salaam kwelikweli....
 
Ukimpokea jesus kwa moyo mmoja bas maisha yako yatabadirika kuliko utakavotegemea ' yaliopita yatabaki kuwa xtory hapa tulipo ndo wakati muafaka wa kuchukua maamuzi yene busara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom