EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,177
- 25,511
Asante Mkuu, japo niliumia sana lakini sikuwa na namna.Pole kwa kupachikiwa mimba mpendwa wako
Asante Mkuu, japo niliumia sana lakini sikuwa na namna.Pole kwa kupachikiwa mimba mpendwa wako
Pole yako, lkn pia shukuru kwa kila jambo, ulimpenda lkn bahati mbaya huyo viatu vyake vilikuwa vikubwa angekusumbua tu,UNANIKUMBUSHA UCHUNGU MKUBWA...
wangu aliniacha OKTOBA20Í4 nikiwa mwaka wa3 chuo....alianza kunipata habari eti anatamani walao amiliki NOAH, mara hata RAV4, . kila akija kwangu ninakijisimu kipya anakichukua...akaanza kudai smartphone...nkashtuka na KUMCHUNGUZA KWA MAKINI,..nkajua anandoto za PALIPOTAFUTWA PAKANONA, sio PAKUPAHANGAIKIA PANONE....wacha awaparamie matajir, namuhurumia SANA walipomfikisha...AMAKWELI, NASIKITIKA KUKUKOSA
Mungu atakupa mwingine zaidi yake Na utamsahau, uwe Na moyo mkuuAsante Mkuu, japo niliumia sana lakini sikuwa na namna.
Ulikua unabakaHonest alipigwa mimba akiwa kidato cha pili na mimi nikiwa chuo mwaka wa kwanza, nadhani uvumilivu ulimshinda akaamua kufanya vile. Yupo anaishi kivyake japo aliomba mara nyingi sana turudiane nami nilikataa.
Pole yako, lkn pia shukuru kwa kila jambo, ulimpenda lkn bahati mbaya huyo viatu vyake vilikuwa vikubwa angekusumbua tu,
Asante, japo Mungu alinibariki na kumpata anipendae kwa dhati, nafurahia uwepo wake katika maisha yangu na wala sijutii. Ni chaguo halali nililopewa na Mungu.Mungu atakupa mwingine zaidi yake Na utamsahau, uwe Na moyo mkuu
NeverPole, Mungu akutie nguvu umsamehe Na kumsahau, kwa sababu umeumbwa kwa udongo una dam Na nyama haya hayabudi kutukia, pole
Hapana Mkuu, hakutaka kunivumilia nikamalizia masomo yangu kwa mda mwafaka, ndo akaamua kufanya maamuzi ya haraka.Ulikua unabaka
Haikua rizki mdauHapana Mkuu, hakutaka kunivumilia nikamalizia masomo yangu kwa mda mwafaka, ndo akaamua kufanya maamuzi ya haraka.
Aiseee unamaanisha mwili hauhitaji tena kupata haki yake?AISEEE! toka hyo 2014, Cjathubutu tena kuwagusa wanawake....najikuta mwenye furaha ninapotimiza MIRADI yangu...
Hata mimi niliamini hivyo Mkuu.Haikua rizki mdau
Amen, akubarikini nyote Na kizazi chenu muendelee kuishi kwa amaniAsante, japo Mungu alinibariki na kumpata anipendae kwa dhati, nafurahia uwepo wake katika maisha yangu na wala sijutii. Ni chaguo halali nililopewa na Mungu.
Nashukuru sana Mkuu kwa dua zako, ubarikiwe pia.Amen, akubarikini nyote Na kizazi chenu muendelee kuishi kwa amani
Sio VizuriDaaa mm nilimwacha wangu mkoani arusha c yy aliniacha ,eti nilimwacha kisa tu nimekuja daaaa now kawa mkalii kuliko hata alivyokuwa mwanzo na ana MTU wake ila nikiendaga arusha ananopaga mzigo kama kawaidaa etiiii
Ha ha ha hivi status zinatumika kwa mipasho eeenh hii kitu nimekuwa nikijuliza sana, wewe ndo umenipa jibuNimeshamblock kwenye mitandao kitambo ex wifi yake ananiambia amekuwa bingwa wa kubadilisha status whatsapp
AmenNashukuru sana Mkuu kwa dua zako, ubarikiwe pia.
Ha ha ha hivi status zinatumika kwa mipasho eeenh hii kitu nimekuwa nikijuliza sana, wewe ndo umenipa jibu
Ha ha unamaanisha anataka kumpiku Hadija kopamkuu nina experience hiyo aisee yani tukipishana kauli mbio anaenda kutundika status na picha zenye ujumbe kumpa relief nilikuwa namshangaaa sana k