Nafuu kuwa Mkuu wa Mkoa kuliko kuwa Naibu Waziri, especially wa michezo.Habari wakuu..
Naibu Waziri wa Michezo, Mh. Makonda sijamsikia tangu ameingia serikalini/ kuteuliwa.
Yuwapi Bro? Hatujamzoea hivi
Dah!!Nafuu kuwa Mkuu wa Mkoa kuliko kuwa Naibu Waziri, especially wa michezo.
Naibu Waziri hana Platform yeyote bila kuruhusiwa na Waziri wake. Kazi kubwa ya ma Naibu Waziri ni kujibu maswali wakati wa Bunge. Na yale maswali wanasoma tu baada ya timu ya Katibu Mkuu husika kuyaandika.
Hili bwege liko overated sana
Ni kosa la kimkakati au alipotoshwa.Au hakutegemea kupokea nafasi hiyo, huenda ukimya wake ni wa maumivu ya kuteuliwa nafasi ambayo hakuahidiwa.
Ni tamaa zake zilimponza, naona walimsoma wakaamua kumwitikia na kumwahidi hewa. Sio kawaida yake kupoa hivi,Ni kosa la kimkakati au alipotoshwa.
Unaanzaje iachia ArushA kama RC.
Yani ni tamaa za hovyoo.
Maumivu ya kukosa cheo kikubwa batiliHabari wakuu..
Naibu Waziri wa Michezo, Mh. Makonda sijamsikia tangu ameingia serikalini/ kuteuliwa.
Yuwapi Bro? Hatujamzoea hivi