Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 85,890
- 145,929
Imani unaweza kuamini hata uongo.Mimi naamini ipo. Nawaona kwa Imani wewe ambae unasema hawapo unatakiwa pia uje na sababu zako ili tujue pengine Imani yetu sio sahihi.
Unaruhusiwa kuamini hata uongo.
Ni haki yako ya kikatiba na kiutu kuamini unavyotaka, hata uongo.
Mimi siongelei imani, naongelea ukweli.
Thibitisha kuwa wapo, habari ya "nawaona kwa imani" si uthibitisho.
Hata mimi naweza kusema nina hela kuliko Elon Musk kwa imani.
Lakini hilo halimaanishi nina hela kuliko Elon Musk kweli.