P Pesanyingi JF-Expert Member Joined Apr 15, 2023 Posts 1,304 Reaction score 2,149 Mar 28, 2024 #1 Amani iwe kwenu. Mimi siyo muumini wa uchawa na wala siyo chawa. Huyu mzee wetu alikuwa chuma haswa kiutendaji Kwa nafasi alizowahi kuzishika. Mama Samia kama itakupendeza kama Mzee wetu Agrey Mwandri umri unamruhusu basi mpe mkoa wa dar awe mkuu wa mkoa atakusaidia sana.
Amani iwe kwenu. Mimi siyo muumini wa uchawa na wala siyo chawa. Huyu mzee wetu alikuwa chuma haswa kiutendaji Kwa nafasi alizowahi kuzishika. Mama Samia kama itakupendeza kama Mzee wetu Agrey Mwandri umri unamruhusu basi mpe mkoa wa dar awe mkuu wa mkoa atakusaidia sana.
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Mar 28, 2024 #2 Sukuma ndani
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,564 Mar 28, 2024 #3 Yaani "Mwandri" nilifikiri umelikosea bahati mbaya huku kwenye heading kumbe sio bahati mbaya maana umelirudia hadi huku kwenye content
Yaani "Mwandri" nilifikiri umelikosea bahati mbaya huku kwenye heading kumbe sio bahati mbaya maana umelirudia hadi huku kwenye content
Theironbutterfly JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 336 Reaction score 911 Mar 28, 2024 #4 🤣🤣washamtilia sumuuhuh Darasa la pili anapenda wajingah Kama yeye
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 16,025 Reaction score 18,466 Mar 28, 2024 #5 Unamdai?
malela.nc JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 260 Reaction score 350 Mar 28, 2024 #6 Last time nakutana nae ilikua mwaka jana mwezi wa nane huko Bunda, hakika amechoka sana kiafya sijajua kwa sasa hali yake iko vipi
Last time nakutana nae ilikua mwaka jana mwezi wa nane huko Bunda, hakika amechoka sana kiafya sijajua kwa sasa hali yake iko vipi
Ncha Kali JF-Expert Member Joined Sep 19, 2019 Posts 15,400 Reaction score 29,339 Mar 28, 2024 #7 Mwifwa said: Yaani "Mwandri" nilifikiri umelikosea bahati mbaya huku kwenye heading kumbe sio bajayi mbaya maana umelirudia hadi huku kwenye content Click to expand... Makosa tumeumbiwa wanadamu.
Mwifwa said: Yaani "Mwandri" nilifikiri umelikosea bahati mbaya huku kwenye heading kumbe sio bajayi mbaya maana umelirudia hadi huku kwenye content Click to expand... Makosa tumeumbiwa wanadamu.
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,718 Reaction score 126,564 Mar 28, 2024 #8 Ncha Kali said: Makosa tumeumbiwa wanadamu. Click to expand... Mimi ni typing error sababu ya key board "h" na "j", "t" na "y" zimekaribiana ni rahisi kuteleza na kugusa herufi iliyokaribu. neno " bahati" nimeliandika vizuri pale mwanzo, ila lingine ndio nimeteleza. Yeye neno "Mwandri" sio bahati mbaya maana hapo ni lazima kutokana na matamshi yake ndio akaandika hivyo
Ncha Kali said: Makosa tumeumbiwa wanadamu. Click to expand... Mimi ni typing error sababu ya key board "h" na "j", "t" na "y" zimekaribiana ni rahisi kuteleza na kugusa herufi iliyokaribu. neno " bahati" nimeliandika vizuri pale mwanzo, ila lingine ndio nimeteleza. Yeye neno "Mwandri" sio bahati mbaya maana hapo ni lazima kutokana na matamshi yake ndio akaandika hivyo
R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 50,217 Reaction score 96,350 Mar 29, 2024 #9 Pesanyingi said: Amani iwe kwenu. Mimi siyo muumini wa uchawa na wala siyo chawa. Huyu mzee wetu alikuwa chuma haswa kiutendaji Kwa nafasi alizowahi kuzishika. Mama Samia kama itakupendeza kama Mzee wetu Agrey Mwandri umri unamruhusu basi mpe mkoa wa dar awe mkuu wa mkoa atakusaidia sana. Click to expand... Takataka likua, chawa la kutupwa. Eti Mungu amshukuru magufuli (au hakusema yeye?). All those were stupid human beings ever on earth!
Pesanyingi said: Amani iwe kwenu. Mimi siyo muumini wa uchawa na wala siyo chawa. Huyu mzee wetu alikuwa chuma haswa kiutendaji Kwa nafasi alizowahi kuzishika. Mama Samia kama itakupendeza kama Mzee wetu Agrey Mwandri umri unamruhusu basi mpe mkoa wa dar awe mkuu wa mkoa atakusaidia sana. Click to expand... Takataka likua, chawa la kutupwa. Eti Mungu amshukuru magufuli (au hakusema yeye?). All those were stupid human beings ever on earth!
kitali JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 6,270 Reaction score 9,584 Mar 29, 2024 #10 Pesanyingi said: Amani iwe kwenu. Mimi siyo muumini wa uchawa na wala siyo chawa. Huyu mzee wetu alikuwa chuma haswa kiutendaji Kwa nafasi alizowahi kuzishika. Mama Samia kama itakupendeza kama Mzee wetu Agrey Mwandri umri unamruhusu basi mpe mkoa wa dar awe mkuu wa mkoa atakusaidia sana. Click to expand... Tangu aseme Mungu anatakiwa amshukuru Magufuli sitaki hata kumsikia.
Pesanyingi said: Amani iwe kwenu. Mimi siyo muumini wa uchawa na wala siyo chawa. Huyu mzee wetu alikuwa chuma haswa kiutendaji Kwa nafasi alizowahi kuzishika. Mama Samia kama itakupendeza kama Mzee wetu Agrey Mwandri umri unamruhusu basi mpe mkoa wa dar awe mkuu wa mkoa atakusaidia sana. Click to expand... Tangu aseme Mungu anatakiwa amshukuru Magufuli sitaki hata kumsikia.