Yuko wapi Mtemi mwingine wa kupambana na Mbowe?

Yaani siku hizi afadhali uweke Imani kwa mtu wa dalasa la saba kuliko wanaonjiita wasomi wa kupindukia Kama wewe!!
 
YUKO WAPI MTEMI MWINGINE WA KUPAMBANA NA MBOWE!?

Leo 15:15hrs 14/05/2021

Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu ya aina za siasa za Arusha, ndio maana juzi kaongea Sabaya hapa Tanzania, akajibu Godbless Lema akiwa Canada, na sababu nyingine ni "spotlight" iliyokuwepo eneo lake la utawala ni eneo la Mtu maarufu ambapo jicho la kila Mtanzania na dunia lilikuwa pale Wilaya ya Hai kwa Mfalme wa Chadema, Freeman Mbowe.

Tuliona hata Mzee Museven akiwa Uganda jicho lake la kwanza lilikuwa Wilaya ya Hai kwa Mwenyekiti wa kudumu wa Chadema, Freeman Mbowe, lakini ni ukweli wapo wengi ambao uongozi wao kiutendaji na kimafanikio ya Awamu ya tano hawakuchangia sana kimaendeleo kuliko Sabaya.

Sabaya kaenda Wilaya ya Hai kama Mkuu wa Wilaya akifanya kazi za kibunge wakati Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe akizunguka Duniania kusema Awamu ya Tano isipewe misaada na itengwe na dunia, Freeman Mbowe akasahau Dunia itayotengwa ni pamoja na Wilaya yake ya Hai nae akafurahi kwa kuwa hakuwajali Wananchi wa Jimbo lake la Hai yeye Freeman Mbowe alikuwa na pesa ya Ubunge na hakuona taabu za Wananchi wa Hai aliyeziona taabu na shida za Wananchi wa Hai ni Lengai Ole Sabaya.

Sasa kumchuiulia hatua Sabaya ni sawa na kuwapa Credit awa CHADEMA na kwa hakika wamepata point tatu muhimu, Sabaya pengine ni Kijana, Hayati Rais John Pombe Magufuli alikuwa akisema awa Vijana damu inachemka na wanaendelea kukua aliwalea kama Vijana wanaopitia hali ya ujana.

Alitegemea wakifikia kwenye utu uzima watakuwa wameacha mambo ya ujana na kuongoza Wananchi kama watu wazima,kulea ni tabu unalea kijana wako toka Utoto ujana hadi utu uzima na utagundua akipita stage mbalimbali na kubadilika.

Kulea kunahitaji moyo wa Mzazi awe Baba au Mama kulea Mtoto yakutaka kuwa na subira hekima, busara na wakati mwingine kuangalia matendo ya mwanao yanaumiza wapinzani au ?. Wapo viongozi vijana kama Sabaya awa hawajaonekana kwa kuwa pengine Mikoa au Wilaya zao hazikuwa na camera sana lakini Sabaya a.K.a Mkuu wa Wilaya ya Taifa alifanya mambo makubwa kiuchumi kuiendeleza Wilaya ya Hai

Pia kumuondoa Mbunge aliyejigeuza Mbunge wa milele wa Jimbo la Hai, Sabaya aliiongoza Wilaya ya Hai kupiga kura ya hapana kwa Freeman Mbowe ambae kwa ujumla hakuna alilolifanya katika Wilaya ya Hai zaidi ya kujitetea amebeba agenda ya kitaifa.

Nikiwa kama mbobezi katika Uongozi labda niwaeleweshe tu, hakuna mwanasiasa mwenye kuzingatia sheria,haki wala utawala bora hapa duniani,iko hivyo ukiwa Mwanasiasa chini yako yatafanyika mambo ya ajabu hadi utashangaa na unaweza usihoji kwa sababu upo kwenye siasa, ndio maana mwendazake kavikwa kila aina ya shutuma ilhali hizo shutuma hata yeye mwenyewe alikuwa akizisikia katika siasa aliyokuwemo Mwanasiasa yeyote yule duniani lengo lake kuu kuridhisha kundi kubwa la kumuunga mkono kushughulikia jambo fulani linalowagusa na kuwakwamisha Wananchi iwe kwa haki au kwa shari ikiwezekana kuwabana Matajiri ili masikini wapate furaha na aweze kuwateka kisiasa.

Pili kutenda kuendana na mvumo wa upepo wa mahitaji ya kisiasa kwa wakati husika,Sasa safisha inayotumika ndiyo itakayochafua na kusisafishike uko mbeleni na watu watatamani mrejeo kwenye uchafu walioutoa lakini haitawezekana kwa kuwa uchafu utabadilika kuwa sumu kali dhidi yao, I'm not a Jewish prophet ila nimewaza kwa elimu yangu tu ya ubobezi katika Uongozi.

Wakati aliyejuu akibanwa kisiasa na walio chini wako tayari kumfurahisha aliyejuu. Sasa hapa katikati ndio kunatokea mgongani pindi aliyejuu atashindwa kuwaelewa waliochini na walio chini watashindwa kumuelewa aliyejuu,nini kitatokea!?

Siku hizi hamna mwenye hofu ya Mungu katika kutaka ndoto zake kuzitimiza kwenda juu kwenye uongozi Mtu yuko radhi kufanya jambo analojua lipo kinyume kabisa na haki hata mbele ya mwenyezi Mungu ili tu lifurahishe chama au Mtu katika siasa ama katika kukubarika kwake kwenye uteuzi, tujitahidi kusimamia haki, Duniani tunapita tu na dalili zinaonesha tunaelekea mwisho kabisa ambapo mtawala wa fimbo ya chuma atakwenda kutawala kwa miaka 7 na kusababisha vita vya Armageddon ndipo Bwana Yesu atakaposhuka duniani kuja kuitawala dunia kwa miaka 1,000 katika utawala ambapo Simba atacheza na swala na Chui atakaa pamoja na mwanakondoo kwa undugu na upendo mkubwa.

Nimalizie kwa kusema Tanzania bado inahitaji watu wa kaliba la Hayati Edward Moringe Sokoine,na Hayati John Pombe Magufuli ili Taifa la Tanzania lipige hatua, Sabaya bado Kijana sana,bado tunaweza kumpika Sabaya tukapata jembe tunalohitaji kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu hapo baadae, CHADEMA leo hii wamefurahi sana kusimamishwa kwa Sabaya na watafurahi sana watu watatu wasiowapenda wakiondolewa, watu wa CHADEMA walipenda Sabaya aondolewe mbali pia wanataka RC Chalamila aondolewe sababu ya kushindwa kwa Sugu na kuna Ally Hapi sababu ya kushindwa kwa Msigwa hayo mengine ni kama kutafuta nongwa tu.

Pia kuna watu dhalimu waliojifanyaga miungu watu wakati chama kilipokuwa cha Wafanyabiashara awa wanataka kufuta legacy ya Hayati John Pombe Magufuli kwa kumchafua kumuita majina wengine wanaongea mambo hadi unajiuliza awa ni binadamu kweli? Wana utu kweli? Je, wao hawatakufa?

Watu awa ufahamu wao umewekwa giza wanasahau kuwa legacy haiondolewi kwa kumchafua Hayati bali Legacy ni kitu ambacho kipo na kitakuwepo kutokana na kazi aliyofanya mwenye legacy yake na ndio maana bado tunamkumbuka Hayati Julius Nyerere na Hayati Mzee Karume pamoja na kuwa hatuna watendaji wao madarakani.

Leo tunawakumbuka Pan Africanist Martin Delany, Alexander Crummel, Edward Blyden, Dr. William Du Bois,Dr Namdi Azikiwe, Marcus Garvey, Kwame Nkrumah, Haile Selassie, Robert Mugabe, Jomo Kenyatta, George Padmore, Julius Nyerere, Nelson Mandela, Oliver Tambo, Thomas Sankara, Patrice Lumumba and Dr. John Pombe Magufuli wao hawapo duniani lakini legacy yao ipo na itakuwepo milele.

Watu wanajisumbua sana, hata museme vipi hata aondolewe nani bado legacy ya Mtu aliyefanya makubwa kwa nchi hii itakuwepo tu kama ipo ipo tu na kama unajua unajua tu.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

- Bachelor of Business Administration in International Business.

- Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Ugoro...
 
NONSENSE!
Naelewa sasa kwanini hata mwendazake hakuwahi kukupa hata uenyekiti wa serikali ya mtaa, pamoja na kuandika bandiko la kumshukuru kulala nanyi Morogoro.
Shaka anayetiliwa mashaka, akapewa shavu la Uenezi.

Everyday is Saturday............................. :cool:
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Sabaya amesafiri toka Arusha, akaja Dar akataka kulazimisha kwenda ikulu bila protokali, Wakamwambia utaratibu wa kumuona Rais kwa DC unaanzia kwa RC wako kule Kilimanjaro, kisha ukifika Dar unaripoti kwa RC wa Dar ndipo unapewa appointment...akakimbilia kwa pm, kwenda "kubembeleza" kama marlaw akatupwa kapuni..hajafika arusha kakuta barua ilishatangulia zamani.mamaeh ...
Hahahahahah

Anadhani Mama Ni kama babu yake mwendazake yaani anajiendea tu

Sent from my TECNO P703 using JamiiForums mobile app
 
YUKO WAPI MTEMI MWINGINE WA KUPAMBANA NA MBOWE!?

Leo 15:15hrs 14/05/2021

Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu ya aina za siasa za Arusha, ndio maana juzi kaongea Sabaya hapa Tanzania, akajibu Godbless Lema akiwa Canada, na sababu nyingine ni "spotlight" iliyokuwepo eneo lake la utawala ni eneo la Mtu maarufu ambapo jicho la kila Mtanzania na dunia lilikuwa pale Wilaya ya Hai kwa Mfalme wa Chadema, Freeman Mbowe.

Tuliona hata Mzee Museven akiwa Uganda jicho lake la kwanza lilikuwa Wilaya ya Hai kwa Mwenyekiti wa kudumu wa Chadema, Freeman Mbowe, lakini ni ukweli wapo wengi ambao uongozi wao kiutendaji na kimafanikio ya Awamu ya tano hawakuchangia sana kimaendeleo kuliko Sabaya.

Sabaya kaenda Wilaya ya Hai kama Mkuu wa Wilaya akifanya kazi za kibunge wakati Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe akizunguka Duniania kusema Awamu ya Tano isipewe misaada na itengwe na dunia, Freeman Mbowe akasahau Dunia itayotengwa ni pamoja na Wilaya yake ya Hai nae akafurahi kwa kuwa hakuwajali Wananchi wa Jimbo lake la Hai yeye Freeman Mbowe alikuwa na pesa ya Ubunge na hakuona taabu za Wananchi wa Hai aliyeziona taabu na shida za Wananchi wa Hai ni Lengai Ole Sabaya.

Sasa kumchuiulia hatua Sabaya ni sawa na kuwapa Credit awa CHADEMA na kwa hakika wamepata point tatu muhimu, Sabaya pengine ni Kijana, Hayati Rais John Pombe Magufuli alikuwa akisema awa Vijana damu inachemka na wanaendelea kukua aliwalea kama Vijana wanaopitia hali ya ujana.

Alitegemea wakifikia kwenye utu uzima watakuwa wameacha mambo ya ujana na kuongoza Wananchi kama watu wazima,kulea ni tabu unalea kijana wako toka Utoto ujana hadi utu uzima na utagundua akipita stage mbalimbali na kubadilika.

Kulea kunahitaji moyo wa Mzazi awe Baba au Mama kulea Mtoto yakutaka kuwa na subira hekima, busara na wakati mwingine kuangalia matendo ya mwanao yanaumiza wapinzani au ?. Wapo viongozi vijana kama Sabaya awa hawajaonekana kwa kuwa pengine Mikoa au Wilaya zao hazikuwa na camera sana lakini Sabaya a.K.a Mkuu wa Wilaya ya Taifa alifanya mambo makubwa kiuchumi kuiendeleza Wilaya ya Hai

Pia kumuondoa Mbunge aliyejigeuza Mbunge wa milele wa Jimbo la Hai, Sabaya aliiongoza Wilaya ya Hai kupiga kura ya hapana kwa Freeman Mbowe ambae kwa ujumla hakuna alilolifanya katika Wilaya ya Hai zaidi ya kujitetea amebeba agenda ya kitaifa.

Nikiwa kama mbobezi katika Uongozi labda niwaeleweshe tu, hakuna mwanasiasa mwenye kuzingatia sheria,haki wala utawala bora hapa duniani,iko hivyo ukiwa Mwanasiasa chini yako yatafanyika mambo ya ajabu hadi utashangaa na unaweza usihoji kwa sababu upo kwenye siasa, ndio maana mwendazake kavikwa kila aina ya shutuma ilhali hizo shutuma hata yeye mwenyewe alikuwa akizisikia katika siasa aliyokuwemo Mwanasiasa yeyote yule duniani lengo lake kuu kuridhisha kundi kubwa la kumuunga mkono kushughulikia jambo fulani linalowagusa na kuwakwamisha Wananchi iwe kwa haki au kwa shari ikiwezekana kuwabana Matajiri ili masikini wapate furaha na aweze kuwateka kisiasa.

Pili kutenda kuendana na mvumo wa upepo wa mahitaji ya kisiasa kwa wakati husika,Sasa safisha inayotumika ndiyo itakayochafua na kusisafishike uko mbeleni na watu watatamani mrejeo kwenye uchafu walioutoa lakini haitawezekana kwa kuwa uchafu utabadilika kuwa sumu kali dhidi yao, I'm not a Jewish prophet ila nimewaza kwa elimu yangu tu ya ubobezi katika Uongozi.

Wakati aliyejuu akibanwa kisiasa na walio chini wako tayari kumfurahisha aliyejuu. Sasa hapa katikati ndio kunatokea mgongani pindi aliyejuu atashindwa kuwaelewa waliochini na walio chini watashindwa kumuelewa aliyejuu,nini kitatokea!?

Siku hizi hamna mwenye hofu ya Mungu katika kutaka ndoto zake kuzitimiza kwenda juu kwenye uongozi Mtu yuko radhi kufanya jambo analojua lipo kinyume kabisa na haki hata mbele ya mwenyezi Mungu ili tu lifurahishe chama au Mtu katika siasa ama katika kukubarika kwake kwenye uteuzi, tujitahidi kusimamia haki, Duniani tunapita tu na dalili zinaonesha tunaelekea mwisho kabisa ambapo mtawala wa fimbo ya chuma atakwenda kutawala kwa miaka 7 na kusababisha vita vya Armageddon ndipo Bwana Yesu atakaposhuka duniani kuja kuitawala dunia kwa miaka 1,000 katika utawala ambapo Simba atacheza na swala na Chui atakaa pamoja na mwanakondoo kwa undugu na upendo mkubwa.

Nimalizie kwa kusema Tanzania bado inahitaji watu wa kaliba la Hayati Edward Moringe Sokoine,na Hayati John Pombe Magufuli ili Taifa la Tanzania lipige hatua, Sabaya bado Kijana sana,bado tunaweza kumpika Sabaya tukapata jembe tunalohitaji kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu hapo baadae, CHADEMA leo hii wamefurahi sana kusimamishwa kwa Sabaya na watafurahi sana watu watatu wasiowapenda wakiondolewa, watu wa CHADEMA walipenda Sabaya aondolewe mbali pia wanataka RC Chalamila aondolewe sababu ya kushindwa kwa Sugu na kuna Ally Hapi sababu ya kushindwa kwa Msigwa hayo mengine ni kama kutafuta nongwa tu.

Pia kuna watu dhalimu waliojifanyaga miungu watu wakati chama kilipokuwa cha Wafanyabiashara awa wanataka kufuta legacy ya Hayati John Pombe Magufuli kwa kumchafua kumuita majina wengine wanaongea mambo hadi unajiuliza awa ni binadamu kweli? Wana utu kweli? Je, wao hawatakufa?

Watu awa ufahamu wao umewekwa giza wanasahau kuwa legacy haiondolewi kwa kumchafua Hayati bali Legacy ni kitu ambacho kipo na kitakuwepo kutokana na kazi aliyofanya mwenye legacy yake na ndio maana bado tunamkumbuka Hayati Julius Nyerere na Hayati Mzee Karume pamoja na kuwa hatuna watendaji wao madarakani.

Leo tunawakumbuka Pan Africanist Martin Delany, Alexander Crummel, Edward Blyden, Dr. William Du Bois,Dr Namdi Azikiwe, Marcus Garvey, Kwame Nkrumah, Haile Selassie, Robert Mugabe, Jomo Kenyatta, George Padmore, Julius Nyerere, Nelson Mandela, Oliver Tambo, Thomas Sankara, Patrice Lumumba and Dr. John Pombe Magufuli wao hawapo duniani lakini legacy yao ipo na itakuwepo milele.

Watu wanajisumbua sana, hata museme vipi hata aondolewe nani bado legacy ya Mtu aliyefanya makubwa kwa nchi hii itakuwepo tu kama ipo ipo tu na kama unajua unajua tu.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

- Bachelor of Business Administration in International Business.

- Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Peleka upumbavu wako kwa babako wa kambo, ujinga ujinga wenu wa uvccm kutesa watu kwisha, nendeni chato mkatie mazindiko, na pia haya ma gazeti yenu jamii forum andikieni uko uko Lumumba. Povu kama looote.
 
Mtoa mada ww ni mwerevu kuliko Mama aliyemuweka kando Saambaya. Wakati mwingine kukaa kimya kuliko kuandika upuuzi kama huu uliandika.
 
Duh hizi elimu sijui mnazipata wapi.Sasa naanza kuelewa kwanini wakina Kibajaji na Msukuma wanadharau wasomi wetu.
 
Kuwa kwake kijana haikuwa justification ya kudhulumu na kutesa watu,Dr Salim aliteuliwa kuwa balozi nchini misri akiwa na miaka 18 tuh,na ipo mifano mingine Mingi ya viongoz vijana walioifanya Kaz kwa weledi,kwani kipimo Cha uongoz ni kusimamia Maendeleo au kuwatesa wapinzan?hao wapinzani wapo hapo kisheria,hii ni nchi ya vyama vingi iweje kuua upinzan ndiyo iwe nguzo ya kupewa cheo??kama unawakera huo upinzan basi rudin kwenye monopartisim
 
Kuwa kiongozi si lazima uwe DC,RC,Waziri au Katibu! Akaongozefamilia yake akibahatika kuchomoka.Vinginevyo akawe "mnyapara" gerezani. Vyote ni nafasi za uongozi.Au wewe huna familia????
 
Mama anacheka na nyani! Atavuna mabua
Manyani haya hayali mahindi muaache mama acheke nayo
Maana manyani nyie ni hatari zaidi

20210422_183858.jpg
 
Nilichokusifu umeweka kabisa na wasifu wako na tu-namber twa simu!!
Nilikuwa natafuta mtu wa kuchoma nyama nzuri hapa mnadani kwenye pub yangu,kwa wasifu wako utanifaa sana,nitakupigia,usiwaze kuhusu posho yako, hutakosa elf saba kwa siku na hapo umeshakula.
 
Kama wanaoitwa wasomi wako hivi, kumbe Msukuma yuko sahihi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom