Yuko wapi Mtemi mwingine wa kupambana na Mbowe?

Cha ajabu ni kuwa mbowe anahubiri hoja zenye mashiko kwa wananchi. Ninyi badala ya kupambana nae kwa hoja ninyi mnapambana nae kwa kutumia mabavu, polisi, udikteta.
 
Acha siasa za kitoto. Na hiyo cv yako uliyomalizia hapo chini,umeiweka ya nini? Kuna watu humu jamvini wanazo cv kali na ya kwako ni cha mtoto. Sijui inahusiana vipi na mada uliyoposti. Tatizo lenu mnadhani waTanzania wote sisi wajinga hatujui kuchagua pumba na mchele!!!!
TEUZI

ova
 
Cha ajabu ni kuwa mbowe anahubiri hoja zenye mashiko kwa wananchi. Ninyi badala ya kupambana nae kwa hoja ninyi mnapambana nae kwa kutumia mabavu, polisi, udikteta.
Katoka kwa mbowe,anawavamia wafanyabiashara pia

Ova
 
Usichoelewa Mr Mbena ni kule kutenganisha watanzania kiitikadi kwa mlengo wako wa kiccm na pia kuamini kila mtu aliyeccm ni mzalendo na nje ya hapo ni muasi na mpinga Kristo kitu ambacho sio kweli.Wewe kulingana na cv yako ni msomi ambaye unatakiwa kuchambua mambo kwa kutumia taaluma zaidi na si ushabiki wa vyama.Usije kuweka leadership qualities kuwa kiongozi ni lazima awe kama Sokoine au Magufuli hiyo si kweli kabisa katika uongozi kuna modalities na approaches kinachotazamwa ni outcome na sio mapambio mengi na kujitukuza.Wakati wa Sokoine pamoja na yote outcome ilikuwa nini na katika awamu ya 5 outcome ni nini. Madaraja na mabarabara ni means to development, maendeleo yanayogusa watu hivyo kama watu wanashangilia anapoondolewa mbaya wao bila kujali itikadi za kisiasa ndio hiyo tunaita outcome. Mimi ni neutral citizen hivyo sijadili kwa mtazamo wa vyama bali utanzania.
 
YUKO WAPI MTEMI MWINGINE WA KUPAMBANA NA MBOWE!?

Leo 15:15hrs 14/05/2021

Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu ya aina za siasa za Arusha, ndio maana juzi kaongea Sabaya hapa Tanzania, akajibu Godbless Lema akiwa Canada, na sababu nyingine ni "spotlight" iliyokuwepo eneo lake la utawala ni eneo la Mtu maarufu ambapo jicho la kila Mtanzania na dunia lilikuwa pale Wilaya ya Hai kwa Mfalme wa Chadema, Freeman Mbowe.

Tuliona hata Mzee Museven akiwa Uganda jicho lake la kwanza lilikuwa Wilaya ya Hai kwa Mwenyekiti wa kudumu wa Chadema, Freeman Mbowe, lakini ni ukweli wapo wengi ambao uongozi wao kiutendaji na kimafanikio ya Awamu ya tano hawakuchangia sana kimaendeleo kuliko Sabaya.

Sabaya kaenda Wilaya ya Hai kama Mkuu wa Wilaya akifanya kazi za kibunge wakati Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe akizunguka Duniania kusema Awamu ya Tano isipewe misaada na itengwe na dunia, Freeman Mbowe akasahau Dunia itayotengwa ni pamoja na Wilaya yake ya Hai nae akafurahi kwa kuwa hakuwajali Wananchi wa Jimbo lake la Hai yeye Freeman Mbowe alikuwa na pesa ya Ubunge na hakuona taabu za Wananchi wa Hai aliyeziona taabu na shida za Wananchi wa Hai ni Lengai Ole Sabaya.

Sasa kumchuiulia hatua Sabaya ni sawa na kuwapa Credit awa CHADEMA na kwa hakika wamepata point tatu muhimu, Sabaya pengine ni Kijana, Hayati Rais John Pombe Magufuli alikuwa akisema awa Vijana damu inachemka na wanaendelea kukua aliwalea kama Vijana wanaopitia hali ya ujana.

Alitegemea wakifikia kwenye utu uzima watakuwa wameacha mambo ya ujana na kuongoza Wananchi kama watu wazima,kulea ni tabu unalea kijana wako toka Utoto ujana hadi utu uzima na utagundua akipita stage mbalimbali na kubadilika.

Kulea kunahitaji moyo wa Mzazi awe Baba au Mama kulea Mtoto yakutaka kuwa na subira hekima, busara na wakati mwingine kuangalia matendo ya mwanao yanaumiza wapinzani au ?. Wapo viongozi vijana kama Sabaya awa hawajaonekana kwa kuwa pengine Mikoa au Wilaya zao hazikuwa na camera sana lakini Sabaya a.K.a Mkuu wa Wilaya ya Taifa alifanya mambo makubwa kiuchumi kuiendeleza Wilaya ya Hai

Pia kumuondoa Mbunge aliyejigeuza Mbunge wa milele wa Jimbo la Hai, Sabaya aliiongoza Wilaya ya Hai kupiga kura ya hapana kwa Freeman Mbowe ambae kwa ujumla hakuna alilolifanya katika Wilaya ya Hai zaidi ya kujitetea amebeba agenda ya kitaifa.

Nikiwa kama mbobezi katika Uongozi,labda niwaeleweshe tu, hakuna mwanasiasa mwenye kuzingatia sheria,haki wala utawala bora hapa duniani,iko hivyo ukiwa Mwanasiasa chini yako yatafanyika mambo ya ajabu hadi utashangaa na unaweza usihoji kwa sababu upo kwenye siasa,ndio maana mwendazake kavikwa kila aina ya shutuma ilhali hizo shutuma hata yeye mwenyewe alikuwa akizisikia katika siasa aliyokuwemo,Mwanasiasa yeyote yule duniani lengo lake kuu kuridhisha kundi kubwa la kumuunga mkono kushughulikia jambo fulani linalowagusa na kuwakwamisha wananchi iwe kwa haki au kwa shari,ikiwezekana kuwabana Matajiri ili masikini wapate furaha na aweze kuwateka kisiasa,

Pili kutenda kuendana na mvumo wa upepo wa mahitaji ya kisiasa kwa wakati husika,Sasa safisha inayotumika ndiyo itakayochafua na kusisafishike uko mbeleni na watu watatamani mrejeo kwenye uchafu walioutoa lakini haitawezekana kwa kuwa uchafu utabadilika kuwa sumu kali dhidi yao, I'm not a Jewish prophet ila nimewaza kwa elimu yangu tu ya ubobezi katika Uongozi.Wakati aliyejuu akibanwa kisiasa na walio chini wako tayari kumfurahisha aliyejuu,Sasa hapa katikati ndio kunatokea mgongani pindi aliyejuu atashindwa kuwaelewa waliochini na walio chini watashindwa kumuelewa aliyejuu,nini kitatokea!?

Siku hizi hamna mwenye hofu ya Mungu katika kutaka ndoto zake kuzitimiza kwenda juu kwenye uongozi,mtu yuko radhi kufanya jambo analojua lipo kinyume kabisa na haki hata mbele ya mwenyezi Mungu ili tu lifurahishe Chama au mtu katika siasa ama katika kukubarika kwake kwenye uteuzi,tujitahidi kusimamia haki,duniani tunapita tu na dalili zinaonesha tunaelekea mwisho kabisa ambapo mtawala wa fimbo ya Chuma atakwenda kutawala kwa miaka 7 na kusababisha vita vya Armageddon ndipo Bwana Yesu atakaposhuka duniani kuja kuitawala dunia kwa miaka 1,000 katika utawala ambapo Simba atacheza na swala na chui atakaa pamoja na mwanakondoo kwa undugu na upendo mkubwa.

Nimalizie kwa kusema Tanzania bado inahitaji watu wa kaliba la Hayati Edward Moringe Sokoine,na Hayati John Pombe Magufuli ili Taifa la Tanzania lipige hatua,Sabaya bado Kijana sana,bado tunaweza kumpika Sabaya tukapata jembe tunalohitaji kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu hapo baadae,Chadema leo hii wamefurahi sana kusimamishwa kwa Sabaya,na watafurahi sana watu watatu wasiowapenda wakiondolewa,watu wa Chadema walipenda Sabaya aondolewe mbali,pia wanataka Mh Chalamila aondolewe sababu ya kushindwa kwa Sugu na kuna Mh Hapi sababu ya kushindwa kwa Msigwa,hayo mengine ni kama kutafuta nongwa tu,

Pia kuna watu dhalimu waliojifanyaga miungu watu wakati Chama kilipokuwa cha Wafanyabiashara,awa wanataka kufuta legacy ya Hayati John Pombe Magufuli kwa kumchafua,kumuita majina,wengine wanaongea mambo hadi unajiuliza awa ni binadamu kweli!? Wana utu kweli!? Je wao hawatakufa!? Watu awa ufahamu wao umewekwa giza wanasahau kuwa legacy haiondolewi kwa kumchafua Hayati bali Legacy ni kitu ambacho kipo na kitakuwepo kutokana na kazi aliyofanya mwenye legacy yake na ndio maana bado tunamkumbuka Hayati Julius Nyerere na Hayati Mzee Karume pamoja na kuwa hatuna watendaji wao madarakani,

Leo tunawakumbuka Pan Africanist Martin Delany,Alexander Crummel,Edward Blyden,Dr William Du Bois,Dr Namdi Azikiwe,Marcus Garvey,Kwame Nkrumah,Haile Selassie,Robert Mugabe,Jomo Kenyatta,George Padmore, Julius Nyerere, Nelson Mandela,Oliver Tambo,Thomas Sankara,Patrice Lumumba and Dr John Pombe Magufuli wao hawapo duniani lakini legacy yao ipo na itakuwepo milele. Watu wanajisumbua sana, hata museme vipi,hata aondolewe nani bado legacy ya mtu aliyefanya makubwa kwa nchi hii itakuwepo tu,kama ipo ipo tu na kama unajua unajua tu.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Kachukue buku saba pale Lumumba.

Mazee nyakati zimebadilika shtukeni.
 
Jina la Leslie linapendeza sana kina dada. Lakini dada yangu siasa hizo za kujikomba na kujipendekeza awamu hii hazipo.
Tanzania ina matatizo mengi kuliko Mbowe. Hai ni inataka Maendeleo sio kutafuta sifa za kipuuuzi puuzi.
Shida ya watu wa Aina ya Sabaya, Makonda, Ali Hapi na Chalamila ni kama zile za Mashoga, wakati nyie mnawaonea aibu wao wanajiona kawaida.
Hawafai kwenye jamii ya Kistaarabu kama Tanzania ya Mama Samia ambayo inataka haki.

Sent from my vivo 1915 using JamiiForums mobile app
 
Nenda wewe kapambane na Mbowe shenzi type. Bado mko kwenye siasa za mshenzi anayeoza Chato kule tu?
 
YUKO WAPI MTEMI MWINGINE WA KUPAMBANA NA MBOWE!?

Leo 15:15hrs 14/05/2021

Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu ya aina za siasa za Arusha, ndio maana juzi kaongea Sabaya hapa Tanzania, akajibu Godbless Lema akiwa Canada, na sababu nyingine ni "spotlight" iliyokuwepo eneo lake la utawala ni eneo la Mtu maarufu ambapo jicho la kila Mtanzania na dunia lilikuwa pale Wilaya ya Hai kwa Mfalme wa Chadema, Freeman Mbowe.

Tuliona hata Mzee Museven akiwa Uganda jicho lake la kwanza lilikuwa Wilaya ya Hai kwa Mwenyekiti wa kudumu wa Chadema, Freeman Mbowe, lakini ni ukweli wapo wengi ambao uongozi wao kiutendaji na kimafanikio ya Awamu ya tano hawakuchangia sana kimaendeleo kuliko Sabaya.

Sabaya kaenda Wilaya ya Hai kama Mkuu wa Wilaya akifanya kazi za kibunge wakati Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe akizunguka Duniania kusema Awamu ya Tano isipewe misaada na itengwe na dunia, Freeman Mbowe akasahau Dunia itayotengwa ni pamoja na Wilaya yake ya Hai nae akafurahi kwa kuwa hakuwajali Wananchi wa Jimbo lake la Hai yeye Freeman Mbowe alikuwa na pesa ya Ubunge na hakuona taabu za Wananchi wa Hai aliyeziona taabu na shida za Wananchi wa Hai ni Lengai Ole Sabaya.

Sasa kumchuiulia hatua Sabaya ni sawa na kuwapa Credit awa CHADEMA na kwa hakika wamepata point tatu muhimu, Sabaya pengine ni Kijana, Hayati Rais John Pombe Magufuli alikuwa akisema awa Vijana damu inachemka na wanaendelea kukua aliwalea kama Vijana wanaopitia hali ya ujana.

Alitegemea wakifikia kwenye utu uzima watakuwa wameacha mambo ya ujana na kuongoza Wananchi kama watu wazima,kulea ni tabu unalea kijana wako toka Utoto ujana hadi utu uzima na utagundua akipita stage mbalimbali na kubadilika.

Kulea kunahitaji moyo wa Mzazi awe Baba au Mama kulea Mtoto yakutaka kuwa na subira hekima, busara na wakati mwingine kuangalia matendo ya mwanao yanaumiza wapinzani au ?. Wapo viongozi vijana kama Sabaya awa hawajaonekana kwa kuwa pengine Mikoa au Wilaya zao hazikuwa na camera sana lakini Sabaya a.K.a Mkuu wa Wilaya ya Taifa alifanya mambo makubwa kiuchumi kuiendeleza Wilaya ya Hai

Pia kumuondoa Mbunge aliyejigeuza Mbunge wa milele wa Jimbo la Hai, Sabaya aliiongoza Wilaya ya Hai kupiga kura ya hapana kwa Freeman Mbowe ambae kwa ujumla hakuna alilolifanya katika Wilaya ya Hai zaidi ya kujitetea amebeba agenda ya kitaifa.

Nikiwa kama mbobezi katika Uongozi labda niwaeleweshe tu, hakuna mwanasiasa mwenye kuzingatia sheria,haki wala utawala bora hapa duniani,iko hivyo ukiwa Mwanasiasa chini yako yatafanyika mambo ya ajabu hadi utashangaa na unaweza usihoji kwa sababu upo kwenye siasa,ndio maana mwendazake kavikwa kila aina ya shutuma ilhali hizo shutuma hata yeye mwenyewe alikuwa akizisikia katika siasa aliyokuwemo,Mwanasiasa yeyote yule duniani lengo lake kuu kuridhisha kundi kubwa la kumuunga mkono kushughulikia jambo fulani linalowagusa na kuwakwamisha wananchi iwe kwa haki au kwa shari,ikiwezekana kuwabana Matajiri ili masikini wapate furaha na aweze kuwateka kisiasa,

Pili kutenda kuendana na mvumo wa upepo wa mahitaji ya kisiasa kwa wakati husika,Sasa safisha inayotumika ndiyo itakayochafua na kusisafishike uko mbeleni na watu watatamani mrejeo kwenye uchafu walioutoa lakini haitawezekana kwa kuwa uchafu utabadilika kuwa sumu kali dhidi yao, I'm not a Jewish prophet ila nimewaza kwa elimu yangu tu ya ubobezi katika Uongozi.Wakati aliyejuu akibanwa kisiasa na walio chini wako tayari kumfurahisha aliyejuu,Sasa hapa katikati ndio kunatokea mgongani pindi aliyejuu atashindwa kuwaelewa waliochini na walio chini watashindwa kumuelewa aliyejuu,nini kitatokea!?

Siku hizi hamna mwenye hofu ya Mungu katika kutaka ndoto zake kuzitimiza kwenda juu kwenye uongozi,mtu yuko radhi kufanya jambo analojua lipo kinyume kabisa na haki hata mbele ya mwenyezi Mungu ili tu lifurahishe Chama au mtu katika siasa ama katika kukubarika kwake kwenye uteuzi,tujitahidi kusimamia haki,duniani tunapita tu na dalili zinaonesha tunaelekea mwisho kabisa ambapo mtawala wa fimbo ya Chuma atakwenda kutawala kwa miaka 7 na kusababisha vita vya Armageddon ndipo Bwana Yesu atakaposhuka duniani kuja kuitawala dunia kwa miaka 1,000 katika utawala ambapo Simba atacheza na swala na chui atakaa pamoja na mwanakondoo kwa undugu na upendo mkubwa.

Nimalizie kwa kusema Tanzania bado inahitaji watu wa kaliba la Hayati Edward Moringe Sokoine,na Hayati John Pombe Magufuli ili Taifa la Tanzania lipige hatua,Sabaya bado Kijana sana,bado tunaweza kumpika Sabaya tukapata jembe tunalohitaji kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu hapo baadae,Chadema leo hii wamefurahi sana kusimamishwa kwa Sabaya,na watafurahi sana watu watatu wasiowapenda wakiondolewa,watu wa Chadema walipenda Sabaya aondolewe mbali,pia wanataka Mh Chalamila aondolewe sababu ya kushindwa kwa Sugu na kuna Mh Hapi sababu ya kushindwa kwa Msigwa,hayo mengine ni kama kutafuta nongwa tu,

Pia kuna watu dhalimu waliojifanyaga miungu watu wakati Chama kilipokuwa cha Wafanyabiashara,awa wanataka kufuta legacy ya Hayati John Pombe Magufuli kwa kumchafua,kumuita majina,wengine wanaongea mambo hadi unajiuliza awa ni binadamu kweli!? Wana utu kweli!? Je wao hawatakufa!? Watu awa ufahamu wao umewekwa giza wanasahau kuwa legacy haiondolewi kwa kumchafua Hayati bali Legacy ni kitu ambacho kipo na kitakuwepo kutokana na kazi aliyofanya mwenye legacy yake na ndio maana bado tunamkumbuka Hayati Julius Nyerere na Hayati Mzee Karume pamoja na kuwa hatuna watendaji wao madarakani,

Leo tunawakumbuka Pan Africanist Martin Delany,Alexander Crummel,Edward Blyden,Dr William Du Bois,Dr Namdi Azikiwe,Marcus Garvey,Kwame Nkrumah,Haile Selassie,Robert Mugabe,Jomo Kenyatta,George Padmore, Julius Nyerere, Nelson Mandela,Oliver Tambo,Thomas Sankara,Patrice Lumumba and Dr John Pombe Magufuli wao hawapo duniani lakini legacy yao ipo na itakuwepo milele. Watu wanajisumbua sana, hata museme vipi,hata aondolewe nani bado legacy ya mtu aliyefanya makubwa kwa nchi hii itakuwepo tu,kama ipo ipo tu na kama unajua unajua tu.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Wewe mshenzi na cv zako za kuunga unga , ungefanya jambo jema sana kuficha ujinga wako kwa kutoandika utopolo huo hapo juu.
 
YUKO WAPI MTEMI MWINGINE WA KUPAMBANA NA MBOWE!?

Leo 15:15hrs 14/05/2021

Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu ya aina za siasa za Arusha, ndio maana juzi kaongea Sabaya hapa Tanzania, akajibu Godbless Lema akiwa Canada, na sababu nyingine ni "spotlight" iliyokuwepo eneo lake la utawala ni eneo la Mtu maarufu ambapo jicho la kila Mtanzania na dunia lilikuwa pale Wilaya ya Hai kwa Mfalme wa Chadema, Freeman Mbowe.

Tuliona hata Mzee Museven akiwa Uganda jicho lake la kwanza lilikuwa Wilaya ya Hai kwa Mwenyekiti wa kudumu wa Chadema, Freeman Mbowe, lakini ni ukweli wapo wengi ambao uongozi wao kiutendaji na kimafanikio ya Awamu ya tano hawakuchangia sana kimaendeleo kuliko Sabaya.

Sabaya kaenda Wilaya ya Hai kama Mkuu wa Wilaya akifanya kazi za kibunge wakati Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe akizunguka Duniania kusema Awamu ya Tano isipewe misaada na itengwe na dunia, Freeman Mbowe akasahau Dunia itayotengwa ni pamoja na Wilaya yake ya Hai nae akafurahi kwa kuwa hakuwajali Wananchi wa Jimbo lake la Hai yeye Freeman Mbowe alikuwa na pesa ya Ubunge na hakuona taabu za Wananchi wa Hai aliyeziona taabu na shida za Wananchi wa Hai ni Lengai Ole Sabaya.

Sasa kumchuiulia hatua Sabaya ni sawa na kuwapa Credit awa CHADEMA na kwa hakika wamepata point tatu muhimu, Sabaya pengine ni Kijana, Hayati Rais John Pombe Magufuli alikuwa akisema awa Vijana damu inachemka na wanaendelea kukua aliwalea kama Vijana wanaopitia hali ya ujana.

Alitegemea wakifikia kwenye utu uzima watakuwa wameacha mambo ya ujana na kuongoza Wananchi kama watu wazima,kulea ni tabu unalea kijana wako toka Utoto ujana hadi utu uzima na utagundua akipita stage mbalimbali na kubadilika.

Kulea kunahitaji moyo wa Mzazi awe Baba au Mama kulea Mtoto yakutaka kuwa na subira hekima, busara na wakati mwingine kuangalia matendo ya mwanao yanaumiza wapinzani au ?. Wapo viongozi vijana kama Sabaya awa hawajaonekana kwa kuwa pengine Mikoa au Wilaya zao hazikuwa na camera sana lakini Sabaya a.K.a Mkuu wa Wilaya ya Taifa alifanya mambo makubwa kiuchumi kuiendeleza Wilaya ya Hai

Pia kumuondoa Mbunge aliyejigeuza Mbunge wa milele wa Jimbo la Hai, Sabaya aliiongoza Wilaya ya Hai kupiga kura ya hapana kwa Freeman Mbowe ambae kwa ujumla hakuna alilolifanya katika Wilaya ya Hai zaidi ya kujitetea amebeba agenda ya kitaifa.

Nikiwa kama mbobezi katika Uongozi labda niwaeleweshe tu, hakuna mwanasiasa mwenye kuzingatia sheria,haki wala utawala bora hapa duniani,iko hivyo ukiwa Mwanasiasa chini yako yatafanyika mambo ya ajabu hadi utashangaa na unaweza usihoji kwa sababu upo kwenye siasa, ndio maana mwendazake kavikwa kila aina ya shutuma ilhali hizo shutuma hata yeye mwenyewe alikuwa akizisikia katika siasa aliyokuwemo Mwanasiasa yeyote yule duniani lengo lake kuu kuridhisha kundi kubwa la kumuunga mkono kushughulikia jambo fulani linalowagusa na kuwakwamisha Wananchi iwe kwa haki au kwa shari ikiwezekana kuwabana Matajiri ili masikini wapate furaha na aweze kuwateka kisiasa.

Pili kutenda kuendana na mvumo wa upepo wa mahitaji ya kisiasa kwa wakati husika,Sasa safisha inayotumika ndiyo itakayochafua na kusisafishike uko mbeleni na watu watatamani mrejeo kwenye uchafu walioutoa lakini haitawezekana kwa kuwa uchafu utabadilika kuwa sumu kali dhidi yao, I'm not a Jewish prophet ila nimewaza kwa elimu yangu tu ya ubobezi katika Uongozi.

Wakati aliyejuu akibanwa kisiasa na walio chini wako tayari kumfurahisha aliyejuu. Sasa hapa katikati ndio kunatokea mgongani pindi aliyejuu atashindwa kuwaelewa waliochini na walio chini watashindwa kumuelewa aliyejuu,nini kitatokea!?

aliyesoma hii essay asaidie kusumarize Mama aendelea hivo hivo
 
Pole mkuu. Shida yako ni tumbo, baada ya kutumbuliwa hujui tena ni nini ukafanye upate kula. Andishi lako halina mantiki, na inaonyesha dhahiri kwamba hujui kitu pamoja na kujinasibu kuwa mbobezi wa uonhzoi. Hivi ni kweli kwamba Sabaya alitumwa akapambane na Mbowe? Je Mbowe alikuwa na kosa lipo. Na je kazi ya mkuu wa wilaya kwa mjibu wa katiba na sheria za nchi ni kupambana na wanasiasa? Siasa hupingwa kwa siasa nsio mabavu na uonevu.
Kwa haya ulioandikwa ni hakika mama amewapatia na mjiandae kisaikolojia, hali yenu hapa mbeleni itakuwa mbaya zaidi.
Labda apewe kazi ya kushikishwa ukuta
 
YUKO WAPI MTEMI MWINGINE WA KUPAMBANA NA MBOWE!?

Leo 15:15hrs 14/05/2021

Sabaya anaonekana kufanya makosa kwa sababu ya aina za siasa za Arusha, ndio maana juzi kaongea Sabaya hapa Tanzania, akajibu Godbless Lema akiwa Canada, na sababu nyingine ni "spotlight" iliyokuwepo eneo lake la utawala ni eneo la Mtu maarufu ambapo jicho la kila Mtanzania na dunia lilikuwa pale Wilaya ya Hai kwa Mfalme wa Chadema, Freeman Mbowe.

Tuliona hata Mzee Museven akiwa Uganda jicho lake la kwanza lilikuwa Wilaya ya Hai kwa Mwenyekiti wa kudumu wa Chadema, Freeman Mbowe, lakini ni ukweli wapo wengi ambao uongozi wao kiutendaji na kimafanikio ya Awamu ya tano hawakuchangia sana kimaendeleo kuliko Sabaya.

Sabaya kaenda Wilaya ya Hai kama Mkuu wa Wilaya akifanya kazi za kibunge wakati Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe akizunguka Duniania kusema Awamu ya Tano isipewe misaada na itengwe na dunia, Freeman Mbowe akasahau Dunia itayotengwa ni pamoja na Wilaya yake ya Hai nae akafurahi kwa kuwa hakuwajali Wananchi wa Jimbo lake la Hai yeye Freeman Mbowe alikuwa na pesa ya Ubunge na hakuona taabu za Wananchi wa Hai aliyeziona taabu na shida za Wananchi wa Hai ni Lengai Ole Sabaya.

Sasa kumchuiulia hatua Sabaya ni sawa na kuwapa Credit awa CHADEMA na kwa hakika wamepata point tatu muhimu, Sabaya pengine ni Kijana, Hayati Rais John Pombe Magufuli alikuwa akisema awa Vijana damu inachemka na wanaendelea kukua aliwalea kama Vijana wanaopitia hali ya ujana.

Alitegemea wakifikia kwenye utu uzima watakuwa wameacha mambo ya ujana na kuongoza Wananchi kama watu wazima,kulea ni tabu unalea kijana wako toka Utoto ujana hadi utu uzima na utagundua akipita stage mbalimbali na kubadilika.

Kulea kunahitaji moyo wa Mzazi awe Baba au Mama kulea Mtoto yakutaka kuwa na subira hekima, busara na wakati mwingine kuangalia matendo ya mwanao yanaumiza wapinzani au ?. Wapo viongozi vijana kama Sabaya awa hawajaonekana kwa kuwa pengine Mikoa au Wilaya zao hazikuwa na camera sana lakini Sabaya a.K.a Mkuu wa Wilaya ya Taifa alifanya mambo makubwa kiuchumi kuiendeleza Wilaya ya Hai

Pia kumuondoa Mbunge aliyejigeuza Mbunge wa milele wa Jimbo la Hai, Sabaya aliiongoza Wilaya ya Hai kupiga kura ya hapana kwa Freeman Mbowe ambae kwa ujumla hakuna alilolifanya katika Wilaya ya Hai zaidi ya kujitetea amebeba agenda ya kitaifa.

Nikiwa kama mbobezi katika Uongozi labda niwaeleweshe tu, hakuna mwanasiasa mwenye kuzingatia sheria,haki wala utawala bora hapa duniani,iko hivyo ukiwa Mwanasiasa chini yako yatafanyika mambo ya ajabu hadi utashangaa na unaweza usihoji kwa sababu upo kwenye siasa, ndio maana mwendazake kavikwa kila aina ya shutuma ilhali hizo shutuma hata yeye mwenyewe alikuwa akizisikia katika siasa aliyokuwemo Mwanasiasa yeyote yule duniani lengo lake kuu kuridhisha kundi kubwa la kumuunga mkono kushughulikia jambo fulani linalowagusa na kuwakwamisha Wananchi iwe kwa haki au kwa shari ikiwezekana kuwabana Matajiri ili masikini wapate furaha na aweze kuwateka kisiasa.

Pili kutenda kuendana na mvumo wa upepo wa mahitaji ya kisiasa kwa wakati husika,Sasa safisha inayotumika ndiyo itakayochafua na kusisafishike uko mbeleni na watu watatamani mrejeo kwenye uchafu walioutoa lakini haitawezekana kwa kuwa uchafu utabadilika kuwa sumu kali dhidi yao, I'm not a Jewish prophet ila nimewaza kwa elimu yangu tu ya ubobezi katika Uongozi.

Wakati aliyejuu akibanwa kisiasa na walio chini wako tayari kumfurahisha aliyejuu. Sasa hapa katikati ndio kunatokea mgongani pindi aliyejuu atashindwa kuwaelewa waliochini na walio chini watashindwa kumuelewa aliyejuu,nini kitatokea!?

Siku hizi hamna mwenye hofu ya Mungu katika kutaka ndoto zake kuzitimiza kwenda juu kwenye uongozi Mtu yuko radhi kufanya jambo analojua lipo kinyume kabisa na haki hata mbele ya mwenyezi Mungu ili tu lifurahishe chama au Mtu katika siasa ama katika kukubarika kwake kwenye uteuzi, tujitahidi kusimamia haki, Duniani tunapita tu na dalili zinaonesha tunaelekea mwisho kabisa ambapo mtawala wa fimbo ya chuma atakwenda kutawala kwa miaka 7 na kusababisha vita vya Armageddon ndipo Bwana Yesu atakaposhuka duniani kuja kuitawala dunia kwa miaka 1,000 katika utawala ambapo Simba atacheza na swala na Chui atakaa pamoja na mwanakondoo kwa undugu na upendo mkubwa.

Nimalizie kwa kusema Tanzania bado inahitaji watu wa kaliba la Hayati Edward Moringe Sokoine,na Hayati John Pombe Magufuli ili Taifa la Tanzania lipige hatua, Sabaya bado Kijana sana,bado tunaweza kumpika Sabaya tukapata jembe tunalohitaji kwa ajili ya maendeleo ya Taifa letu hapo baadae, CHADEMA leo hii wamefurahi sana kusimamishwa kwa Sabaya na watafurahi sana watu watatu wasiowapenda wakiondolewa, watu wa CHADEMA walipenda Sabaya aondolewe mbali pia wanataka RC Chalamila aondolewe sababu ya kushindwa kwa Sugu na kuna Ally Hapi sababu ya kushindwa kwa Msigwa hayo mengine ni kama kutafuta nongwa tu.

Pia kuna watu dhalimu waliojifanyaga miungu watu wakati chama kilipokuwa cha Wafanyabiashara awa wanataka kufuta legacy ya Hayati John Pombe Magufuli kwa kumchafua kumuita majina wengine wanaongea mambo hadi unajiuliza awa ni binadamu kweli? Wana utu kweli? Je, wao hawatakufa?

Watu awa ufahamu wao umewekwa giza wanasahau kuwa legacy haiondolewi kwa kumchafua Hayati bali Legacy ni kitu ambacho kipo na kitakuwepo kutokana na kazi aliyofanya mwenye legacy yake na ndio maana bado tunamkumbuka Hayati Julius Nyerere na Hayati Mzee Karume pamoja na kuwa hatuna watendaji wao madarakani.

Leo tunawakumbuka Pan Africanist Martin Delany, Alexander Crummel, Edward Blyden, Dr. William Du Bois,Dr Namdi Azikiwe, Marcus Garvey, Kwame Nkrumah, Haile Selassie, Robert Mugabe, Jomo Kenyatta, George Padmore, Julius Nyerere, Nelson Mandela, Oliver Tambo, Thomas Sankara, Patrice Lumumba and Dr. John Pombe Magufuli wao hawapo duniani lakini legacy yao ipo na itakuwepo milele.

Watu wanajisumbua sana, hata museme vipi hata aondolewe nani bado legacy ya Mtu aliyefanya makubwa kwa nchi hii itakuwepo tu kama ipo ipo tu na kama unajua unajua tu.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

- Bachelor of Business Administration in International Business.

- Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Baba yako hiyo hela aliyotumia kukupeleka shule bora angenunua nguruwe afuge kuliko huu upuuzi unaofanya.
 
Kwahiyo Mbowe pia ndo alimwambia 7ya amnyali Boss wake Mkuu wa mkoa Mama Anna mbele ya waandishi. Si bure ww ubongo wako utakua umechanganyikana na mavi
 
Kulikua na ulazima gani kupost hadi kiwango chako cha elimu? Kiufupi mmechanganyikiwa nendeni mkambembeleze mume wenu
 
Lesile Mbena
Kumbe siasa za ccm ni za kitemi na kibabe?
Ndivyo ulivyofundishwa huko chuoni kuwa uongozi ni ubabe na utemi?
Kwa taarifa yako na wengine wenye nyongo ya aina yako msiokubali kuwa siasa za kizazi hiki zinataka ustaarabu Basi mlilieni aliyewafunda huenda akaamka kuja kuwabembeleza!
Ni ujinga kushadadia siasa za nguvu kwa kizazi hiki! Na hii ndiyo sababu kina Msukuma wanawaponda wasomi kwani hakuna ulichoelimika zaidi ya kujua kutaja majina ya marehemu!
 
Hivi shule za ivi mnasomaga wapi ? kuna uhusiano gani kati ya uvunjifu wa sheria wa sabaya na freeman Mbowe ? Yan kufukuzwa afukuzwe mwingine alafu lawama ziende kwa mingine ambaye hata hajamfukuza yeye ? Are you nuts ? Wtf is wrong with you guys ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom