Umeniwaui jos masihara hatari SanaJos masihara ebana eee
Yule anaitwa X-ray ukimskia vzr unaweza kudhani saigonInaitwa Rais wa ghetto hiyo hivi yule msela aliyechana verse ya kwanza sijui nani yule aliua Sana.
Anahitaji Rehab kama alivyopewa Dullayo.Shabiki wake nimem miss sana.
Nimekumbuka wimbo wake wa darasa huru
Wasanii wa zamani walikuwa na ngoma kali sana ila pesa wengi hawakupata. Walipata ma promota tu