Wana jf wasalaam.
Naomba hata ACT Wazalendo watusaidie kutujuza alipo Mh Zitto.
Toka Bunge limeanza sijapata wasaha wakuangalia je anaonekana? Na sikawaida na kama angeonekana lazima thread ya kuzungumzia kuonekana kwake isingelikosekana.
Twitter hayupo.
Facebook hayupo.
Bado siamini kama Mpambanaji kama Zitto bado kajificha kisa anawaogopa Polisi labda kama kuna jambo lingine.
Wasalaam.
Mwenzake kila alipo tajiri yupo leo yupo kwenye mkusanyiko wa siku ya wanasheria kwa hiyo nyota yake iko poaSioni umuhimu wake maana anataka kiki kwa nguvu baada ya tajiri kukataa kuhonga honga vibaraka
These are hallucinations and delusions denoting schizophrenia according to Shnider.It is also insane for a sober person to submit himself to the draculars searching for his blood!!
We have draculas on the Stirling wheel beware!!
Inawezekana kuna tofauti hapo ya uelewa kwa msikilizaji. Ipo hii video inayoongelea dk.5 lakini ina maneno tofauti.Mkuu weka hapa ushahidi wa hayo maneno
Zitto ni muumini wa imani ya Islam hivyo aweza kuowa mke zaidi ya mmoja ilimladi asivuke wanne tuAmeoa lakini, sijui unahitaji nini kwake?



Polisi waliliachia gari baada ya kujilizisha kuwa lina document halali na deleva wake alisibitisha uwepo wa nyalaka zote halali yuko wapi mzalendo ZZKZZK bado anatafuta documents za gari lake. Mara akizipata ataziwasilisha polisi na ataonekana tena bungeni akiwa raia huru
Bila shaka wanataka wakammalize! Pindi wakimjua alippMnataka mjue alipo ili iweje
You have also a schizophrenic in fact a psychiatric case on the driving wheel!! do you agree? Read a condition called petit malThese are hallucinations and delusions denoting schizophrenia according to Shnider.
Acakuongea kama umekatika kichwa weweMwacheni apumzike kwa babu zake Burundi
Makosa ilifanya serikali kuwapa uraia.