Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,913
- 43,503
Wana jf wasalaam.
Naomba hata ACT Wazalendo watusaidie kutujuza alipo Mh Zitto.
Toka Bunge limeanza sijapata wasaha wakuangalia je anaonekana? Na sikawaida na kama angeonekana lazima thread ya kuzungumzia kuonekana kwake isingelikosekana.
Twitter hayupo.
Facebook hayupo.
Bado siamini kama Mpambanaji kama Zitto bado kajificha kisa anawaogopa Polisi labda kama kuna jambo lingine.
Wasalaam.