Yuko wapi Mh Zitto?

Yuko wapi Mh Zitto?

Leak

Platinum Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,939
Reaction score
43,569
Wana jf wasalaam.

Naomba hata ACT Wazalendo watusaidie kutujuza alipo Mh Zitto.
Toka Bunge limeanza sijapata wasaha wakuangalia je anaonekana? Na sikawaida na kama angeonekana lazima thread ya kuzungumzia kuonekana kwake isingelikosekana.
Twitter hayupo.
Facebook hayupo.
Bado siamini kama Mpambanaji kama Zitto bado kajificha kisa anawaogopa Polisi labda kama kuna jambo lingine.

Wasalaam.
 
kama chama cha sisiemu kinataka kumuua mnafikiri ataonekanaje??? Uhuni mnaofanya Mungu anawaona dhulma itawarudia
 
Wana jf wasalaam.

Naomba hata ACT Wazalendo watusaidie kutujuza alipo Mh Zitto.
Toka Bunge limeanza sijapata wasaha wakuangalia je anaonekana? Na sikawaida na kama angeonekana lazima thread ya kuzungumzia kuonekana kwake isingelikosekana.
Twitter hayupo.
Facebook hayupo.
Bado siamini kama Mpambanaji kama Zitto bado kajificha kisa anawaogopa Polisi labda kama kuna jambo lingine.

Wasalaam.

Mh.Zitto hajawahi kuwaogopa policcm na kamwe hawezi kuwaogopa hata siku moja.Alishawahi kuwaambia policcm wasimvizie,kama wanamuhitaji wamwite ataenda mwenyewe.

Anayeogopwa ni yule aliyejiapiza kumpoteza yeyote ndani ya dk.5,huyo tu ndiye anayetisha na ndiye aliyewaagiza policcm wamkamate Mh.Zitto.
 
Mnataka kumwonesha zile tani za mahindi?
 
Wana jf wasalaam.

Naomba hata ACT Wazalendo watusaidie kutujuza alipo Mh Zitto.
Toka Bunge limeanza sijapata wasaha wakuangalia je anaonekana? Na sikawaida na kama angeonekana lazima thread ya kuzungumzia kuonekana kwake isingelikosekana.
Twitter hayupo.
Facebook hayupo.
Bado siamini kama Mpambanaji kama Zitto bado kajificha kisa anawaogopa Polisi labda kama kuna jambo lingine.

Wasalaam.
Kwani bunge liko live ndio aonekane??
 
Mh.Zitto hajawahi kuwaogopa policcm na kamwe hawezi kuwaogopa hata siku moja.Alishawahi kuwaambia policcm wasimvizie,kama wanamuhitaji wamwite ataenda mwenyewe.

Anayeogopwa ni yule aliyejiapiza kumpoteza yeyote ndani ya dk.5,huyo tu ndiye anayetisha na ndiye aliyewaagiza policcm wamkamate Mh.Zitto.
Mkuu weka hapa ushahidi wa hayo maneno
 
Labda anaogopa Yale madeni c unajua yy na chama chake wana madeni sana
 
Chumbani kajifungia funguo haifungui kufuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom