Yuko wapi Mbunge wa Newala mjini, Kapteni Mkuchika?

Ushasema kapangiwa kazi maalum ulitaka tena aonekane ili iwaje
Si mmeamua kuonyesha kila uapishwaji.aapishwe basi tumuone Kisha aje kuchukua mawazo ya wapinga Kura kama kweli walimchagua.kumbuka bunge liendelealo ni la Bajeti muhimu kwa Wana newala na mtwara ukizingatia ni muhenga hasa toka huko

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Aliwahi kuwa waziri wa utawala bora awamu hii nikasikia amepangiwa kazi maalumu... Sijamuona kwenye uapisho pia sijabahatika kumuona Bungeni yuko wapi Mbunge wangu?
1621659542764.png
 
Aliwahi kuwa waziri wa utawala bora awamu hii nikasikia amepangiwa kazi maalumu... Sijamuona kwenye uapisho pia sijabahatika kumuona Bungeni yuko wapi Mbunge wangu?
Huyu ni mtu mzima sasa yeye ni mshauri wa rais na washauri huwa hawaapishwi
 
Mimi niliwahi. Miaka ya nyuma alikua na lodge inaitwa plateau niliwahi kua nalala pale newala, mzee nilikua napiga nae story jioni ni mtu poa sana.
Hata mwanaye ni peace balaa lakini ajabu nilikua sijui jina lake kamili tulikua tunamwita mkuchika!
 
Huyu Mzee Alikuwa Kweli Anafaa Kwenye Ile Nafasi Ya
Ofisi Ya Rais Utawala Bora


Huyu Wa Sasa Hivi Kazidisha Kudemka Mno
 
Kuna umri ukifika inabidi kustaafu na kubaki mshauri tu pale inapohitajika.

Na hiyo ni kwa mujibu wa tafiti za kisayansi!

Ilishangaza kuona kwa umri ule kwenda kugombea tena ubunge,

Ikashangaza tena jina kupitishwa kura za maoni,

Inashangaza zaidi wananchi kumpa kura na kushinda

Yani hakuna vijana au wenye umri wa makamo wa kati wenye maono na uwezo wa kuwakilisha wananchi wa huko?
 
Back
Top Bottom