Yuko wapi Mbiki Msumi?

Yuko wapi Mbiki Msumi?

Moderator ongezea hii kwenye uzi. Nadhani mtafutwa ndio huyuView attachment 2703587
Ma miss wa ukweli walikuwa hawa, baada ya mambo wakapiga shule na mambo ya maana,kuna yule Mercy Galabawa dah japo hakushinda taji.
Halafu kuna lile troop lilileta kina Wema, Aunt Ezekiel,Irene,Uwoya...yani ma beutiful with nnya in the head hahaha,wakafanya tukawa tunaona Miss Tanzania ni Sokta, au Kimboka ya kiwango cha juu na wateja ni ma Don
 
Back
Top Bottom