Yuko wapi Mbiki Msumi?

Yuko wapi Mbiki Msumi?

Mzumbe alisoma certificate ya law,alipomaliza akajiunga na tumain university iringa 2005,kusomea degree
Kwa data zilizopo, ni kigogo pale OUT, ni msomi wa Sheria akibobea katika eneo la Constitutional and International Law. Nenda pale OUT kaulize.
 
Unaoa, unamla, unamtwanga talaka, unatafuta mwingine. So nafasi zako za kuoa unakua hauzijazi.
Kila unayemtaka anajiona anakuja kuwa mke wa pili na wewe kazi yako inakua ni kuwagongea ndani ya ndoa na kuwapiga talaka.

Wanaume wa kiislam wahuni ndio mambo yao haya. Wanaoa wanagonga wakichoka wanapiga talaka. Wanaoa mwingine

Masudi kipanya na haji manara ndio mambo yao haya.
 
Muda ni hakimu, enzi hizo za kimobiteli, mademu wakali mjini wanamegwa na watoto wa mjini kwa kuhongwa chaser mayai ma Mark II hizi hizi za milioni 1.5 leo.
Starehe, starehe kweli kwa macheni enzi hizo. viwanja vikali Sinza enzi hizo. Mtu mzima Hashim Lundenga yupo hai?
Enzi hizo ARV lazima uwe na hela na connection, leo tunawapa Nguruwe ARV. Nimekumbuka mbali mhenga mie😁
🤔😳Na Leo ARV Trump ndo kashazuia😅
 
Habari wakuu,
Napenda kufahamu alipo kwa sasa aliyewahi kuwa Miss Tanzania miaka ya zamani bibie Mbiki Msumi. Ni moja ya ma celebs ambao wamefanikiwa ku-keep low profile.
Kuna msela kapokea kijiti toka kwa Mstaafu. Sema Mstaafu anapenda matolu sana. Bona nae zinga la tolu.
 
Nimeiona hii online mume ex Magessa wa yule dada wa Mbezi Garden - Haika Lawere ndio anauvuta mzigo huu Mbiki Msumi, wameengage jana na picha zimerushwa live. Mambo hadharani.
 
Nimeiona hii online mume ex Magessa wa yule dada wa Mbezi Garden - Haika Lawere ndio anauvuta mzigo huu Mbiki Msumi, wameengage jana na picha zimerushwa live. Mambo hadharani.
Phares Magesa kaopoa Chombo Mbiki Msumi.

Kweli usije kutamani ndoa ya mtu mwingine kwa mionekano ya nje ,yaani kama PM asingeweka wazi kama wameachana basi watu wengi walikuwa wanatamani sana "KAPO" yao yenye watoto majiniazi na wana mipunga ,kumbe ndani NDOA NDOANO.
 
Back
Top Bottom