Yuko wapi Mama yetu Janeth Magufuli?

Status
Not open for further replies.
Mbona jumapili iliyopita alikuwa ma mzee baba wakiwaombea majeruhi wa marehemu kanisani.
 
Kile kipigo cha mbwakoko mpaka akalazwa muhimbili, kimemfanya awe mpole
 
Kweli chama cha wachaga mmeishiwa hoja. Poleni sana. Bora ungeulizia mama yenu wa Arusha Lucy.
 
aliyeshindwa kuunganisha familia yake unatarajia kuwaunganisha watanzania..
ndio maana utasikia "nyinyi kaskazini mtasubiri sana"
"tunajenga kanda ya ziwa kwanza"
ivi pombe huku ruvuma na mbeya utakuja lini kutushukuru kwa kukuchagua ?
aliyeshindwa kuonesha uaminifu kwenye ndoa yake unategemeaje ushirikiano ?
 
Huyu Rais anaonyesha upendeleo wa kikanda wa waziwazi kabisa

It's very shameful
 
Angalia juzi juzi kwenye ufunguziwa Mfugale flyover alikuwapo kwenye tukio.
 
Duh, hapo siajabu unawakwepa ndugu na marafiki, hata kuwaulizia una habari, ila wauzliza haya uchokonowe ya mke wa mtu tu?!
Kwa kuwa yeye ni Public Figure, kwa hiyo ni muhimu tukajua her whereabouts
 
Rais Magufuri huwa mnasema anapenda kamera,Janeth hataki kamera mnamtafuta sisi watanzania tunamatatizo sana.
 
Mke wa Magu unamtakia nini wewe?
Hapendi kiki yule.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…