Yuko wapi?? Lissa fickenscher

Quavohucho

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2020
Posts
1,033
Reaction score
2,450
Yuko wapi huyu mdada Lissa hajaonekana mda mrefu sana si mtaani wala mitandaoni

Ikumbukwe lisssa alikua mdau wa utalii wa ndani Tz miaka ya 2011 pia aKawa manager na mke wa mabeste msanii wa Hip hop, wakapata watoto wawili
Mwaka 2019 akaachana na mabeste(akimtuhumu kuwa ni mvivu) na kuolewa na rafiki wa mabeste "pax"

Baada ya hapo hajaonekana Tena popote Manager huyu ; Je Yuko wapi kwa anayejua please!

Maana ni mdau sna kwenye tasnia ya music pale (B hits kwa Kina pancho(RIP) na ame promote sana utalii wa ndani pale viwanja nya don Bosco Dar!!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…