Yuko wapi?? Lissa fickenscher

Yuko wapi?? Lissa fickenscher

Usaliti wa aina hii haukubaliki hata kidogo. Ifahamike hapa naongelea kwa ujumla wake. Huwezi kumfanyia mke au mume wako wa ndoa kitendo cha kikatili, udhalilishaji, na uonevu wa kiasi hiki! Huu ni ubinafsi uliopitiliza.

Kwenye hili huyo Mabeste anastahili pongezi kwa kuonesha uvumilivu na ukomavu wa hali ya juu pamoja na magumu yote aliyopitia. Mtu mwingine asiye na uvumilivu kama wa huyu Mabeste hadi muda huu tayari angekua jela, au kaburini na mahasimu wake wote wawili.
 
Tate Mkuu
Mabeste aliachwa
Pax nae kaachana na Lisa na kafunga ndoa

Dunia darasa
 
umbea. tuuuu

ebu rudini kwenye kifuniko cha nandy , au picha na nandy jameni inavutia balaaaaaaaa
 
What has happened around here ?
 
Nikitaka ku share thread kama hivyo nafanyaje?
 
Rafiki wa Mabeste kamuacha na watoto wawili, kaoa mwanamke mwingine juzi.
Mimi binafsi naogopa sana kuzaa tena sijui kwanini, ila naona kama nitakua nawakosea sana wanangu. Huwa najiuliza sijui ni trauma bado au ni kujali ila kiukweli kuzaa tena na mwanamke mwingine saa hii aah naona noma. Japo kuna muda natamani sana kufanya hivyo ila nawaza wanangu watajisikiaje kuona nina watoto wengine mbali na mama yao licha ya kuwa tumeachana!?
 
Kaka! Huyo mwanamke kakupoteza mwanaume mzuri kama wewe.

Mimi mwenyewe katika kitu sipendi na sitamani ni kua na watoto baba tofauti pia sitaki watoto wangu wachangie baba na watoto wengine.

Ila sasa mambo huwa yanabadilika, watu tunatofautiana, wenza muda mwingine wanabadilika.
 
Back
Top Bottom