Yuko wapi?? Lissa fickenscher

Yuko wapi?? Lissa fickenscher

Quavohucho

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2020
Posts
949
Reaction score
2,246
Yuko wapi huyu mdada Lissa hajaonekana mda mrefu sana si mtaani wala mitandaoni

Ikumbukwe lisssa alikua mdau wa utalii wa ndani Tz miaka ya 2011 pia aKawa manager na mke wa mabeste msanii wa Hip hop, wakapata watoto wawili
Mwaka 2019 akaachana na mabeste(akimtuhumu kuwa ni mvivu) na kuolewa na rafiki wa mabeste "pax"

Baada ya hapo hajaonekana Tena popote Manager huyu ; Je Yuko wapi kwa anayejua please!

Maana ni mdau sna kwenye tasnia ya music pale (B hits kwa Kina pancho(RIP) na ame promote sana utalii wa ndani pale viwanja nya don Bosco Dar!!

Screenshot_20260202-170635.png
FB_IMG_1770041505616.jpg
FB_IMG_1770041019467.jpg
 
Lisa yupo, last time nlimuona Mbezi shule mwaka jana mwishoni bado mtoto anaita ana ka mwili kazuri sana, ukimuona bado ana mvuto wake ule ule
 
Lisa yupo, last time nlimuona Mbezi shule mwaka jana mwishoni bado mtoto anaita ana ka mwili kazuri sana, ukimuona bado ana mvuto wake ule ule
Hayupo mjini hapa!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom