General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,316
- 23,186
Mkuu mwulize mtu yeyote ndani a chadema au ccm ambaye yupo ktk rank za juu za Uongozi akusimulie kuhusu kijana huyuu, anasifa nyingi ambazo nyingine nimesahau kuziwekaaHizo sifa ulizimpa makamba hazistahili tafadhali tutake ladhi
Makamba is doomed
Kwanza boss wake 'hampendi'...
pili ana maadui wengi ndani na nje ya ccm
Mtu pekee wa kumsaidia alikuwa JK....
his silence is for the best. Nothing good ever comes out of the guy's mouth other than hypocrisy and butt kissing for positions. He is not banned, he was just dismayed by the position given to him, given all the confidence he had of being offered a major ministry. Rumours had it that he had even planned for his cabinet as he was certain of being the premier only to be dumped in a very trivial ministry.Even though i don't agree with some of the praises you gave him, ila he has been eerily quiet, a little too quiet infact. Its not his nature.
And still he ill spoke of the same person that made him what he became after he decided to contest for presidency. He never even had the decency of informing JK of his intentions by then. That's the kinda person he is, ungrateful and power hungry. Had he become a president, we would have been in a far worse predicament than we are in currently.Yeah, he did climb the ranks during JK's tenure, from speech writer to MP to deputy minister.
Pia JK alimpa alot of opportunities. Sijui mwisho wake ukoje...
Exactly!!Makamba si doomed
Kwanza boss wake 'hampendi'...
pili ana maadui wengi ndani na nje ya ccm
Mtu pekee wa kumsaidia alikuwa JK....
Hata ingekuwa mimi ndo boss wake nisingempenda. Ana majungu kama muimba taarab. Kabla ya kutangazwa kwa baraza la mawaziri alipojua kwamba kaukosa uwaziri mkuu ambao alikuwa na hakika wa kuupata alianza kumpiga vijembe Boss wake kwa kutumia vibonzo mitandaoni. Ashukuru Mungu pia kuwepo kwenye mazingira ilipaswa awe katibu muhtasi wa wizara kabisa kwa kejeli zake.Makamba si doomed
Kwanza boss wake 'hampendi'...
pili ana maadui wengi ndani na nje ya ccm
Mtu pekee wa kumsaidia alikuwa JK....
Sawa mkuu, unajua hizi combination ya pcb na shule za jakaya ndio matokeo yake hayaaLabda kaamua kunyamaza maana nayo ni busara pia.
Ila kichwa cha habari rekebisha POLITICALLY!
Asante kwa kuniqout na kujibu kistaalabila nipende kusema kuwa kijna huyu ni moja kati ya watu ambao ni mastermind kwa kupanga ni jinsi gani ya kuharibu na listokee lolote umastermind wake hauko kulisaidia taifa bali ni kupiga mailston za kwake yeye mwenye ama na kikund kidogo cha watu wake. Kuwepo kwake kwenye list ya uncle Magu ni nguvu za chama na si uncle mwenyewe. So fara dogo Janja anabaki kuwa lonly maana ile kariba ya watu kama yeye hakuna.Mkuu mwulize mtu yeyote ndani a chadema au ccm ambaye yupo ktk rank za juu za Uongozi akusimulie kuhusu kijana huyuu, anasifa nyingi ambazo nyingine nimesahau kuziwekaa
ladhi>>>>>radhiHizo sifa ulizimpa makamba hazistahili tafadhali tutake ladhi
Mkuu Maana ya chama nikushika dola, kukamata dola inahitaji mbinu za kisasaa, mikakati yote ya mafuriko ya uongo ya magufuli na strateries za ushindi alikuwa anaratibuyeye hata zile takwim za kupikaa.Asante kwa kuniqout na kujibu kistaalabila nipende kusema kuwa kijna huyu ni moja kati ya watu ambao ni mastermind kwa kupanga ni jinsi gani ya kuharibu na listokee lolote umastermind wake hauko kulisaidia taifa bali ni kupiga mailston za kwake yeye mwenye ama na kikund kidogo cha watu wake. Kuwepo kwake kwenye list ya uncle Magu ni nguvu za chama na si uncle mwenyewe. So fara dogo Janja anabaki kuwa lonly maana ile kariba ya watu kama yeye hakuna.
Niliposema hana hana sifa ulizozta nilimaanisha background hujui alichokuwa anakifanya dogo Janja