Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,096
- 34,231
Huyo Mrope anaitwaNaskia alifariki. Si ndo yule kibonge flan hivi cheupe aliigiza kwenye igizo la Fukuto ITV mamake bi mwenda walikuwa wanaigiza kama watoto wa wachawi.
Mleta mada anamtaka Kibakuli/Ali kiba.