Magayor Mongolian
JF-Expert Member
- Oct 27, 2024
- 1,205
- 2,998
πππ, Duh!Huyo hapo
View attachment 3538680
Kusema ukweli BICHWA KOMWE - hakuwa sawa kabisa tangu yale matukio ya tarehe 29 October 2025 yalipotokea. Afya yake ya akili itetereke kupita kiasi.Huyu member kitambo sana sijamuona Jf alikuwa mcheshi na anatoa madini sana sasa sijui kimemkuta nini natamani kujua BICHWA KOMWE -
secretarybird alikuwaga demu wake baada ya kumpora kutuka kwa Busu la Kenge
Cc : Fake P
Anatoa madini Uraiani nyie si mmegoma kupanua wigo. π€£Huyu member kitambo sana sijamuona Jf alikuwa mcheshi na anatoa madini sana sasa sijui kimemkuta nini natamani kujua BICHWA KOMWE -
secretarybird alikuwaga demu wake baada ya kumpora kutuka kwa Busu la Kenge
Cc : Fake P
Ni siku nyingi hizo hayupo lazima nipate hofuMtu last seen yake ni jan 25 2026 anauliziwa
Ama ndio mambo ya kujitekenya na ID nyingine?
Noma sana !Kusema ukweli BICHWA KOMWE - hakuwa sawa kabisa tangu yale matukio ya tarehe 29 October 2025 yalipotokea. Afya yake ya akili itetereke kupita kiasi.
Tumwombee!
Jasusi Vichwa Komwe alishakufagaHuyu member kitambo sana sijamuona Jf alikuwa mcheshi na anatoa madini sana sasa sijui kimemkuta nini natamani kujua BICHWA KOMWE -
secretarybird alikuwaga demu wake baada ya kumpora kutuka kwa Busu la Kenge
Cc : Fake P
πππππNaona unajitafuta na kujipata.
Hongera Sana Mafwele.
ππππKusema ukweli BICHWA KOMWE - hakuwa sawa kabisa tangu yale matukio ya tarehe 29 October 2025 yalipotokea. Afya yake ya akili itetereke kupita kiasi.
Tumwombee!
πNoma sana !
Upo?ππππ
Umejuaje kama Mimi Mafwele mbona unanitisha mkuu ?Naona unajitafuta na kujipata.
Hongera Sana Mafwele.