Yuko wapi Jamal Malinzi?

Huyu jamaa hana analolijua,siwez mkataa kwa sababu ya kabila lake ila namkataa kwa sababu haujui mpira hata kidogo yaani kwa sasa namkumbuka hata Ndolanga japo nae hakuwa sawa ila ilikuwa afadhali anaujua mpira.....ni mara mia angerudi hata Tenga
Huyu mpira haujui na hata kuongoza hajui,vyote zero!!!
 
Sisi Wahaya si watu wa mchezo mchezo watu tunafahamika mpaka UN itakuwa Tiefuefu? Mtachonga sana lakini Kaitaba ndo home.
 
Na soon Bukoba itabadilika kushinda New York ili mchonge vizuri waswahili mliojaa maneno mdomoni kushinda utekelezaji miaka 10 mnajua kusafiri tu sisi ni kazi maneno tumewaachia nyie wacheza singeli na wavaa ndala.
 
Wahaya hatiendekezi njaa na asilimia 90 ni wasomi kuanzia bachelor degree kwenda juu
 
tatizo waswahili njaa kali akija bilionea toka bukoba wote kulee, 5000 USD kila mtu mnanywea!!
 
Wahaya ni watu smart sana na tunatambulika kimataifa, in fact Mhe. Dr. Marinz anaandaliwa kuongoza fifah.
 
TFF naiona iko katika kipindi cha mpito..... Huyu bwana sidhani km anaweza kurudi awamu ya pili!!! Soka letu limekuwa katika "menopause "
 
mkuu vipi ushaanza kujenga kibanda chako kilichodondoshwa na tetemeko maana mkulu kasema msitegemee serikali
tatizo waswahili njaa kali akija bilionea toka bukoba wote kulee, 5000 USD kila mtu mnanywea!!
 
Amefanya nini Tena Mwenyekiti wa chama cha mpira mkoani kagera...??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom