Yuko wapi Humphrey Polepole?

Alikuwa anaonekana kipindi kile kwasababu nafasi yake na majukumu yake ya kipindi hicho yalimfanya aonekane mara kwa mara. Sasa hayo majukumu anayo Shaka Hamdu Shaka. Cha kujiuliza, huyo Shaka Hamdu Shaka anaonekana? Kama haonekani kwanini?
Ataonekana pale atakapokuwa anahitajika na si kupiga debe kama mtangulizi wake .Chama chetu kwa sasa kina viongozi na sio wababaishaji ambao kimsingi sio wanaccm kindakindaki kama alivyokuwa Bashiri na Polepole .Hawa walitumika sana wakati wa mchakato wa katibu kutetea wasichokijua
 
Wakuu,

Ni kitu mbaya sana kijana mdogo kama Polepole kustaafu katika umri ule, mwili bado unadai na nguvu ya kusumbua watu ipo

Tangu kutenguliwa katika nafasi yake ya ukatibu uenezi, Polepole hajapata kuonekana popote pale.

Si vyombo vya habari wala mitandao ya kijamii, amepotezwa kishamba kwelikweli.

He came, he sawa, he conqured!
 
Ataonekana pale atakapokuwa anahitajika na si kupiga debe kama mtangulizi wake .Chama chetu kwa sasa kina viongozi na sio wababaishaji ambao kimsingi sio wanaccm kindakindaki kama alivyokuwa Bashiri na Polepole .Hawa walitumika sana wakati wa mchakato wa katibu kutetea wasichokijua
Believe that and you'll believe anything!
 
Back
Top Bottom