ndio mimi hapa aya sema nikusaidie nini?
Yupo analalama jinsi majani alivyomfanyia umafia mauzo ya album zake 2
Umafia gani alifanyiwa na majani mbona unakuwa debe tupu kamuulize ferooz alipata sh ngapi kwenye albamu yake ya kwanza?pale bongo records ferooz aligonga copy zaidi ya laki tano na alipata mafanikio mengi sana kwenye albamu yake ya pili sauti na vyombo aikufanya vizuri kutokana na soko kuwa mbaya na watu walikua hawanunui tena albamu,sasa sijui hiyo unyonyaji unatoka wapi.
cc figganiga,miss strong,matola na madam b.
siku izi nimekuwa mjasiriamali na mziki sijaacha nausoma mchezo.Uko Kimnya sana muziki umeacha?
Kama ujadandia treni kwa mbele kila la kherisiku izi nimekuwa mjasiriamali na mziki sijaacha nausoma mchezo.
Yupo analalama jinsi majani alivyomfanyia umafia mauzo ya album zake 2[/QUOTE
Mh! avatar yako
yani nmeshindwa hata kushangaa.....
Mambo lakini!
Naskia mwenzie daz baba saivi teja ni kweli wadau..?
Ban mtaji wa watu huo humu jf.mambo poa tu siunajua ban za hapa na pale zinatuficha sana.
Msanii wa bongo fleva Feruzi aliyetamba miaka-ya nyuma kuna na mwana jamii anayejua habari zake?