Yuko wapi Feruzi?

Rukwa21

Senior Member
Apr 6, 2012
142
42
Msanii wa bongo fleva Feruzi aliyetamba miaka-ya nyuma kuna na mwana jamii anayejua habari zake?
 
Yupo analalama jinsi majani alivyomfanyia umafia mauzo ya album zake 2
 
Yupo analalama jinsi majani alivyomfanyia umafia mauzo ya album zake 2

Umafia gani alifanyiwa na majani mbona unakuwa debe tupu kamuulize ferooz alipata sh ngapi kwenye albamu yake ya kwanza?pale bongo records ferooz aligonga copy zaidi ya laki tano na alipata mafanikio mengi sana kwenye albamu yake ya pili sauti na vyombo aikufanya vizuri kutokana na soko kuwa mbaya na watu walikua hawanunui tena albamu,sasa sijui hiyo unyonyaji unatoka wapi.
cc figganiga,miss strong,matola na madam b.
 
Yani nmeshindwa hata kushangaa.....
Mambo lakini!
 
maisha ni popote, c kwamba muzik ndo utaomfanya aishi miaka ming lahasha, bali ni yy na utafutaj wake na malengo ktk maisha yake alvo panglia
 
MSANII wa muziki nchini Mrisho Feruzi a.k.a Feruzi amesema kimya kingi kina mshindo mzito na kwamba anajipanga kikamilifu ili albamu yake iweze kukubalika.

Feruzi ambaye alikubaliaka sana katika tasnia ya muziki miaka ya nyuma kupitia wimbo wake wa Starehe anasema hajafulia kimziki na kuwa bado yupo kwenye game.

"Muziki ni kazi kama ilivyo kazi nyingine lazima ujipange ili uweze kutoa ujumbe wenye ladha kwa mashabiki waliokuzoea na wasiokuzoea," anasema.

Anasema ukimya wake utakuwa na manufaa kwa muziki wa bongo hasa ukilinganisha na aina ya muziki na kwamba bado kitambo kidogo atavunja ukimya huo.

.....from tha zealot blogspot.com

Msanii wa bongo fleva Feruzi aliyetamba miaka-ya nyuma kuna na mwana jamii anayejua habari zake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom