Yuko wapi Excel?

Yuko wapi Excel?

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
9,933
Reaction score
11,865
Jamaa ni mdau humu lakini nina siku sijamuona kapatwa na tatizo gani? au mods wamefanya yao.
 
Mara ya mwisho gps zilisoma yuko musoma baada ya hapo no signal... Au searching signal muda wote
 
UE time table ishatoka?????!!!!
Hivi siku hizi course work ni ngapi tena???!!!!!
 
Ewaa utakuwa mama wa ubatizo wa kabinti ketu kajacho. Namwona kama anatematema mate hovyo.

Babu kesi ya mkurya king Excel utaiweza? Kwa hiyo kutema mate wewe ndo ushaweka ndani
 
Last edited by a moderator:
Excel atakuja soon, ila amenipa kazi ngumu ya kumlinda mtu ambae hatujazoeana. Eti miss neddy nikulienda au utajilinda?
 
Excel atakuja soon, ila amenipa kazi ngumu ya kumlinda mtu ambae hatujazoeana. Eti miss neddy nikulienda au utajilinda?

hahahaha mbona mnapigana vikumbo mimi nina mkanda mweusi siihitaji bodigadi lol
 
Back
Top Bottom