Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,761
Kweli wasukuma tupo juu hadi mtu anakosa mda wakuingia humu?
umeona eeeeh mtu unalambwa badala ya kuogeshwa huo mda wa kuingia humu utautoa wapiui
Kweli wasukuma tupo juu hadi mtu anakosa mda wakuingia humu?
nahisi una hamu eeeeeh
lol! niko nae mlimani sa hz mliolala mkiamka maswli yote kuhusu excel niulizen mimi!
amefichwa na mm jaman
Yuko kwangu
Na wewe ni mdau kama kila Excel akitokea na wewe upo!Jamaa ni mdau humu lakini nina siku sijamuona kapatwa na tatizo gani? au mods wamefanya yao.
wewe ndiyo yule bikra under 20?
jamani ina maana gani
ndo mm! sa hv nmekua m2 mzma excel kanikuza
huelewi nn dia nkueleweshe
Jamaa ni mdau humu lakini nina siku sijamuona kapatwa na tatizo gani? au mods wamefanya yao.
Excel yupo visiwani