Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
Sijui nani alikuwa anamtuma huyu jamaa
maana sijui kaishia wapi watu wamarudi kazini
kufanya kazi yeye kapoteza ajira
Sijui nani alikuwa anamtuma huyu jamaa
maana sijui kaishia wapi watu wamarudi kazini
kufanya kazi yeye kapoteza ajira
Nipo hapa TMJ natibiwa kwa bili kali, kama kweli madaktari wa Hosptali za serikalini wameanza kazi tusituane niendeacha kukurupuka wewe,kwani aliyetoa taarifa watu warudi emergence ni nani? Tafuta habari kwa umakini ndo uandike humu. Leo wanakutana na kamati ya bunge ili kufikisha madai yao. Muhimbili hakuna hata specialist anayefanya kazi,wote wako kwenye vikao endelevu. Theatre kuna nurses na anaesthetists tu. Kama huamini nenda hospitali ya umma ukatibiwe uone kama huduma zipo.
Sijui nani alikuwa anamtuma huyu jamaa
maana sijui kaishia wapi watu wamarudi kazini
kufanya kazi yeye kapoteza ajira
Nipo hapa TMJ natibiwa kwa bili kali, kama kweli madaktari wa Hosptali za serikalini wameanza kazi tusituane niende
Jamani msiongee kwa jazba kuhusu huyu ulimboka. Arudi tu kazini. Hii ndio serikali tuloichagua na wakicheza kweli ajira watapoteza, unajua kwa nini sikuhizi tz karibia madaktari 200 wanagraduate... so unafikiri why serikali wanaringa
acha kuandika habari za kiunafiki unadhan ni mwalimu huyu hadi apoteze ajira!
Jamani msiongee kwa jazba kuhusu huyu ulimboka. Arudi tu kazini. Hii ndio serikali tuloichagua na wakicheza kweli ajira watapoteza, unajua kwa nini sikuhizi tz karibia madaktari 200 wanagraduate... so unafikiri why serikali wanaringa
Nipo hapa TMJ natibiwa kwa bili kali, kama kweli madaktari wa Hosptali za serikalini wameanza kazi tusituane niende
kwataarifa tu ni kwamba hata wale ma-specialist nao wamegoma.....Nipo hapa TMJ natibiwa kwa bili kali, kama kweli madaktari wa Hosptali za serikalini wameanza kazi tusituane niende
Sijui nani alikuwa anamtuma huyu jamaa
maana sijui kaishia wapi watu wamarudi kazini
kufanya kazi yeye kapoteza ajira
Mkuu FUSO huyo utoto unamsumbua akikua ataacha kufikri kitoto!usishasikia popote duniani Daktari akapoteza ajira? labda hapa kwenu
Sijui nani alikuwa anamtuma huyu jamaa
maana sijui kaishia wapi watu wamarudi kazini
kufanya kazi yeye kapoteza ajira